Nimetukanwa na mama mkwe, kisa nimempiga mtoto wake

Sigara Kali

JF-Expert Member
May 28, 2017
3,623
8,428
Waungwana habari zebu

Niko na mwanamke na nimezaa nae watoto wawili ,na tunaishi mikoa Jirani

Huyu mwanamke bado sijamtolea mahari zaidi ya kishika uchumba

Sasa wiki iliyopita nlienda kumtembelea na kuwaona watoto

Nikakuta sintofahamu katika simu yake ,ikabidi nipige kwa huyo jamaa kujua ni nani yake(nilifanya hivi kwa sababu na yeye ana tabia ya kuchukua simu yangu na kuwapigia wote anaowahisi vibaya) basi bhana baada ya kupiga kwa jamaa nikaanza kutukanwa na jamaa na kujitapa kwamba wife ni mke wake

Tukaanza kutupiana maneno makali sana ,nikamfuata wife kumuuliza jamaa ni nani yake hajatoa jibu la kueleweka

Kiukweli nikapandwa na hasira na kuanza kumshushia kipigo kikali hadi anitajie huyo jamaa ni nani yake

Alipopata upenyo akakwapua simu akakimbilia chumbani na kufunga mlango,akampigia mamake simu na kunishtaki

Mamake ikabidi anipigie ,kwa kuwa nlikua na hasira sikutaka kupokea simu yake manake najua ningemjibu mbovu

Alipona sipokei simu yake ,mama akaanza kunitumia msg za kashfa Mara Mimi kahaba(sasa tangu lini mwanaume akawa kahaba) nimwache mwanae

Mara hajala hela Yangu nimwache mtoto wake

Matusi kibao na maneno ya kashfa yalimtoka yule mama

Mimi sikumjibu nlichoamua kubeba begi langu na kuondoka usiku huo huo

Sasa wife anaomba samahani na ananiambia kwamba mamake alinitumia msg zile kwa hasira

Sasa najiuliza huyu mama nimfanye nini awe na adabu na aache kuegemea upande wa mtoto wake badala ya kuuliza chanzo

Kanipandisha hasira sana ,nimfanyaje huyu mmama jamanii???????

Aaaaaghhhhrrrrrrrrrrr!!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu pole sana kesi yako wewe naoina kama ya GODFACE ,

Yaani hapo huna mke ,mama mkwe iweje sasa....aingilie mapenzi yenu atakuwa na maslah yake ya chini kwa chini

Next time ikitokea mpe makavu mama mkwe ili ashike adabu !! Hawa watu sio wa kuogopa kabisa

sent from toyota Allex
 
Mkuu mbona naona kama ishu ya kupigiwa mke wako na huyo jamaa sio habari tena? Au mmeshayamaliza kwa kukubali kupigiwa
 
Waungwana habari zebu

Niko na mwanamke na nimezaa nae watoto wawili ,na tunaishi mikoa Jirani

Huyu mwanamke bado sijamtolea mahari zaidi ya kishika uchumba

Sasa wiki iliyopita nlienda kumtembelea na kuwaona watoto

Nikakuta sintofahamu katika simu yake ,ikabidi nipige kwa huyo jamaa kujua ni nani yake(nilifanya hivi kwa sababu na yeye ana tabia ya kuchukua simu yangu na kuwapigia wote anaowahisi vibaya) basi bhana baada ya kupiga kwa jamaa nikaanza kutukanwa na jamaa na kujitapa kwamba wife ni mke wake

Tukaanza kutupiana maneno makali sana ,nikamfuata wife kumuuliza jamaa ni nani yake hajatoa jibu la kueleweka

Kiukweli nikapandwa na hasira na kuanza kumshushia kipigo kikali hadi anitajie huyo jamaa ni nani yake

Alipopata upenyo akakwapua simu akakimbilia chumbani na kufunga mlango,akampigia mamake simu na kunishtaki

Mamake ikabidi anipigie ,kwa kuwa nlikua na hasira sikutaka kupokea simu yake manake najua ningemjibu mbovu

Alipona sipokei simu yake ,mama akaanza kunitumia msg za kashfa Mara Mimi kahaba(sasa tangu lini mwanaume akawa kahaba) nimwache mwanae

Mara hajala hela Yangu nimwache mtoto wake

Matusi kibao na maneno ya kashfa yalimtoka yule mama

Mimi sikumjibu nlichoamua kubeba begi langu na kuondoka usiku huo huo

Sasa wife anaomba samahani na ananiambia kwamba mamake alinitumia msg zile kwa hasira

Sasa najiuliza huyu mama nimfanye nini awe na adabu na aache kuegemea upande wa mtoto wake badala ya kuuliza chanzo

Kanipandisha hasira sana ,nimfanyaje huyu mmama jamanii???????

Aaaaaghhhhrrrrrrrrrrr!!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanasema kosea kujenga sio kuoa. Hii kauli itafakari mara mbili. Sio kuoa kwamba mke tu, HATA Pale unapoenda kuoa.

Wanawake na wamama wa zamani walikuwa na busara Sana, hata utakuta mkizinguana yeye huwa neutral na kutaka kusikiza pande zote. Biti la kutosha kwa mwanae kuwa rudi kwa mumeo.

Huyo maza ni kimeo, bomu lililokuwa halijatolewa Pini yake, Wambea ,wahuni, na tabia zimgine za ovyo nao wanazeeka na hizo tabia.

Ukikutana mtoto asiye na busara huweza kuentertain hizi mishe.

Huyo manzi wako ni Kizibo, sasa anatakiwa awe na kitu kitacho mfanya hawe na Hofu ya MUNGU, kinyume na hapo, UTACHOMOLEWA BETTRY SANA. WEKA NDANI HUYO NI KAMA KUPANDA MIWA NYUMA YA SHULE YA MSINGI.

MKe mwema anatoka kwa BWANA. Huyo sio, kama uliyo yasema hapo ni kweli.

Lakini Turudi kwako

Inawezekana wew mwenyewe usomeki, usikute huo uchumba ni uchumba sugu, so manzi akaamua kujiongeza, akawa kama ana BET vile. Labda humpi care kama mchumba wako, mchizi akajiongeza manzi akanasa nao ni binadamu, kila mtu hutafuta pema.

So, kama hapo pia kuna kosa, SCAN VIZURI, ONDOA VIRUS, THEN IWEKE SYSTEM VIZURI
 
"MWANAUME" Kiumbe kinachopotea kwa kasi ya ajabu kuliko hata tembo wetu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom