Kwanini wanawake wembamba weupe wanaongea sana?

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Jun 25, 2019
2,732
2,477
Oohhoooo!

Asee waseee hivi kwanini Hawa vimbaumbau weupe wanaongea sana, halafu wengi wao wanaongea fasta fastaaa, kama kanda inasokota.

Na Hawa vimbaumbau weupe vazi lao kubwa ni dela, au Ndio hawataki kuvaa nguo za Kubana ili flat screen zao zisionekane?



Mimi ndimi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom