Mello
Senior Member
- May 7, 2017
- 110
- 207
Umri wangu ni Miaka 34 Mrefu, Mweusi Mkristo, Nimeajiriwa Botswana, kwa Sasa likizoni Tanzania, Niliwahi kuoa ila ndoa ikawa ndoano, Aliyekua mke wangu ni kama ya (Frola Mbasha). Mwanamke ninayemhitaji ni mwenye Elimu ya wastani, Age 25 - 30, dhehebu lolote ila mcha Mungu, Mwenye kuvutia, kazi si Lazima maana ninajitosheleza. Kwa Mwanamke aliye serious Akuje tuongee.