Ogopa sana kuwa kimbilio la wakosefu

Ogopa sana kuwa kimbilio la wakosefu

MIGUGO

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2011
Posts
2,137
Reaction score
3,958
Unakuta umeingia kwenye mahusiano na mtu alieachika mpaka akachizika aidha kufikia hatua ya kutaka kujiua au kufanya fujo ya kutukanana na ex wake,kupigana n.k.Yaani yule mtu ambaye haamini kama ameachika.

Watu wa aina hii hutafuta mtu kupumzika nae.Usije ukawa scapegoat. Yaani hawa hutafuta a temporary resort. Watu wa aina hii hata ufanyie nini lazima afanye comparison na ex wake kwa hiyo unakuwa mtu wa kuprove kwamba you are a better person.

Ex wake akirudi tu anakuacha kwa muda then akimuacha anarudi kwako.Kwa hiyo unakuwa kimbilio la wakosefu,akikosa kule anarudi kwako.
 
Hii kitu iliwahi nikuta kumbe yeye bado anampenda aliporudi yule nikaachwa kwenye mataa[emoji23][emoji23][emoji23] akapigwa kibuti baada ya mwaka akarudi eti weeee nikamwambia fullstop peleka utoto wako chooni
 
Unakuwa wa kupumzikia yani akishakimbiwa, akishavurugwa huko na mwenzie anajirudi anakuonesha upendo wa kinafki na ukikubali na kuliruhusu tu ndio inakuwa hvyo forever. Usikubali mtu akupumzikie
 
Kama mtu addict wa porn hadelete permanent ila anapeleka RECYCLE BIN,siku akijisikia anaRESTORE tena. The same applies to this type of people.
Unakuwa wa kupumzikia yani akishakimbiwa, akishavurugwa huko na mwenzie anajirudi anakuonesha upendo wa kinafki na ukikubali na kuliruhusu tu ndio inakuwa hvyo forever. Usikubali mtu akupumzikie


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nakumbushia tu kuwa ‘papuchi’ haisusiwi, wewe ukishagundua hivyo akiileta jipigie tu akiondoka unaendelea kivyako... mradi haikugharimu kitu.

Mambo ya kuwanyima ‘wakosefu’ ni chanzo cha wao kujiua... patia mimi hizo fursa.
 
Kama mtu addict wa porn hadelete permanent ila anapeleka RECYCLE BIN,siku akijisikia anaRESTORE tena. The same applies to this type of people.

Binafsi nikshamtoa mtu kwnye maisha yangu hasa mapenzi simpi nafasi tena aende zake jumla


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom