Mimi ndimi?
eeebana leo nimemeet na mwanadada mmoja hivi wa humu jf, ilikua tumekutana kibiashara tuu, kuna eneo lake alikua ananiuzia, kilichonishangaza ni uzuri wa huyo mwanamke aseee, type za...
Kuna vijitabia sikuhiz za wanawake kutokuvaa chupi..
Na wanafeel proud kujulikana kama hawavai chup! Sasa sijaelewa lengo ni nn!?
Leo nimemuona mdada mrembo tu kavaa gaun ndefu ya kubana na...
Katika mahusiano, anayeumia zaidi kwa kutendwa ni mwanamke kwasababu anakuwa hana maamuzi aje aishi na nani kutokana na asili iliyopo ya kusubiri yeye kutongozwa. Kama atakuwa anatendwa mara kwa...
Habari wakuu,
Eid Mubarak. Habari za pilika? Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, napenda kupata tathmini zenu kuhusu hili sala.
See, I got this friend of mine ambaye ni pure Christian (a girl)...
Kuharibika kwa ndoa sio Jambo la kufurahia ama kupendeza. Ndoa ni msingi na mlango mkuu wa kupitishia baraka kutoka kwa Mwenyezi Mungu.
Shetani kamwe hataki Wala kukubali kuona tunabarikiwa...
Nimeona familia nyingi, mshua kama hana pesa anakuwa na maisha magumu sana uzeeni kwa sababu mara nyingi watoto wanapitisha fedha kwa mama.
Pia wanaume sio wepesi sana kuomba fedha kwa watoto ...
Eid al fitri
Wahenga walisema usiache mbachao kwa msala upitao
Usitukane mamba kabla hujavuka mto
Yapata mwaka 2017 nilikutana na binti Fulani wa kisukuma ambaye alitoka zake chato huko na kuja...
Yaani mtoto mtundu anaweza kukufanya ufupishe safari kama ni ugenini. Mtoto unakuta hatulii, akishika hili ukimzuia , kashika jingine. Ukiwa mpole wanaweza kukuharibia hata vitu vyako, halafu...
Maisha haya jamani, hebu imagine una mpenzi wako unaempenda kwa dhati halafu anatokea mtu from nowhere anakwambia anahitaji kuwa na mpenzi wako wajege kuishi pamoja lakini anakuomba akupe milioni...
Kutongoza ndio msingi wa mahusiano na ndoa. Mahusiano mengi kama sio yote huanza kwa mwanamke kutongozwa kisha huamua akubali ama akatae. Mara nyingi mwanamke ndiye anaeamua kama haya mahusiano...
MUME AMWEKEA PILIPILI NA KUZIBA NA GUNDI NYETI ZA MKEWE
POLISI katika Kaunti ya Taraka Nithi nchini kenya, wanamshikilia mwanaume mmoja aliyejulikana kwa jina la James Muriuki, kwa tuhuma za...
Inaaminika huenda Baba mzazi akawa ndio Mwanaune pekeee atakaye mpatia binti wake upendo wa dhati kabisa na wa kutoka moyoni, na huenda Binti hatakuja kuupata upendo wa aina hiyo kutoka kwa...
Leo nahitaji kuongea na wadada. Tunajua kuwa faragha yenye huba na mahaba ni uwanja maalumu kwa wawili waliopenda na kukubaliana.
Faragha uhusisha hatua tatu kimsingi ili kila mmoja afaidi na...
Research zinaonyesha kuwa hawa wanaume wa Jamii hii ya Kimandinka ndo wenye maumbile makubwa kuzid wanaume wote duniani. Hii inapelekea mpk wanawake wa kizungu kutoka ulaya kufanya utalii wa ngono...
Wakuu habarnii za miangaiko ya hapa na pale, kiukweli kuna mwanamke tuliachana miezi mitatu imepita ila cha ajabu nashindwa ku move on jamani mda huu kanifanya mtumwa maana nimemuomba turudiane...
Ndugu zangu, Wife bana kajifungua kama mwezi hivi, tunashukuru sana kwa Mungu mtoto wa 2 sasa. Safari hii tofauti na mwanzo kajifungulia hapa hapa na tukiwa tushaamia mjengoni nje ya jiji hukoo...
Wadau hili limekaaje unatakuta wameku add kwenye group la shule ya Msingi, Sekondari, Chuo, Ukoo, Mtaa, La Nzengo, La Ofisini N.k.
Sasa kivumbi kinakuja zinapostiwa nyuzi za watu kufiwa na kufa...
Leo naomba nizungumze na wanawake.
Nyie wanawake baadhi yenu ni wa.pu.uzi sana. Umri ukienda ndio mnajua mnachohitaji yaani mwanaume serious mtu mzima tena mnatambua hilo baada ya kuchezewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.