Mwanamke jua unachohitaji mapema

Joel360

JF-Expert Member
Sep 21, 2013
981
631
Leo naomba nizungumze na wanawake.

Nyie wanawake baadhi yenu ni wa.pu.uzi sana. Umri ukienda ndio mnajua mnachohitaji yaani mwanaume serious mtu mzima tena mnatambua hilo baada ya kuchezewa sana sana na masharobaro na mabraza meni.

Mnapokuwa katika umri mzuri na mna mvuto mnakuwaga na nyodo za kipuuzi na dharau kwa wanaume ambao wanakuja kuwaonesha nia ya dhati ya kuwaoa.
Tena bila kutumia akili mnawadharau wanaume watafutaji na wenye umri 30+ kwa sababu ya visharobaro ambavyo kimsingi huwa vinawachezea na kuwalisha bata tu.

Eti mnasema mnakula bata. Kuleni bata tuone kama umri unasubiri. Wengine mnawa-disapoint wanaume wanaokuja kuwapenda kwa dhati kwa kuwadangia dangia na kuwachuna ili mkawafurahishe visharobaro wenu.

Sasa fainali umri ukishawatupa mkono ndo mnajishaua shaua -ooh nataka mwanaume serious, mtu mzima mwenye nia ya dhati-.

Japo si wote mpo hivyo lakini wengi ndo tabia yenu.

Mbaya zaidi ni baada ya kuolewa.

Kwa kuwa baadhi yenu mnakuwa mmeolewa for the sake of marriage only, baadhi yenu huwa bado hamja-tune akili na mawazo yenu katika ndoa na wajibu wenu ndani ya ndoa na familia. Sijui huwa kitu gani kinawatatiza au kinawakumba. Maana siku hizi nikawaida kusikia mwanamke anasema "nimeolewa tu kutoa nuksi ila kudanga kuko pale pale". Sasa kinachosikitisha zaidi ni hiki "nimeolewa tu ili mradi lakini siwezi kuachana na Joel, huku nipo kwa ajili ya ndoa tu ila mapenzi yangu yapo kwa Joel".

Sasa huo sio u.pu.u.zi ?

Mwanamke kwanza hueshimu wanaume wanaokuja kwa nia ya kukuoa kwa kuendekeza ujana usio na maana.

Mwanamke hueshimu mwanaume anaekupenda na kukuhudumia, kwa sababu ya tamaa na kuendekeza ujana unaishia kumdangia na kula na kisharobaro chako.

Mwanamke hueshimu mwanaume ambae amekuoa na badala yake unaendelea kudanga danga kwa siri au unaendelea na mahusiano na kile kisharobaro ambacho hakikuwa hata na mpango wa kukuoa. Kwanza angekuwa anakupenda sana si angekuoa ?

Japo si wote mko hivyo lakini kama uko hivyo badilika.

Mwanamke jitambue, tambua nafasi yako katika jamii, tambua unachohitaji, achana na fantasy za ujana zisizo na maana na kama ni mke basi tambua wajibu wako katika ndoa na familia yako achana mahusiano na mtu asiependa amani ya familia yako. (Mtu anaekupenda kwa dhati hawezi kukufanya um-cheat mumeo)
 
Mtu anaye teseka na kuonewa katika suala zima la kuoa ni mwana umme anae oa kwa dhati acha tu wanawake hawana huruma na ndoa zao kila mpita njia anapiga fresh wewe baba wanyumba unapiga kiporo usiku akina hata mvuto..... I hate serious marriage ila tu sina jinsi
 
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu mimi na wewe hatuna tofauti yoyote, mi mwenyewe najiona sina jinsi inabidi tu nioe ila nikiwatizama wanawake wenyewe navunjika moyo sana.
 
Inauma sana hii tabia,hakuna kitu kibaya kama kumjali mwanamke lakini yeye akawa hajitambui bado anaendelea kupotezewa muda na masharobaro au wapaka rangi.Narudia tena inauma sana.
 
Inauma sana hii tabia,hakuna kitu kibaya kama kumjali mwanamke lakini yeye akawa hajitambui bado anaendelea kupotezewa muda na masharobaro au wapaka rangi.Narudia tena inauma sana.
Inauma sana sana. Wanawake siku hizi nao wamekuwa waongo mkuu. Yaaani mi huwa nafikia hatua naona labda tu nijaribu kuoa mwanamke wa kizungu naskia huwa wanaheshimu sana ndoa zao.
 
Joel vuta pumzi ndefuu kisha shusha kidogo kidogo.....maana upo na hasira kali mkuu

Chopstick from Hong Kong
Yaani hii kitu inauma mkuu. Mwanamke anakuwa muongo/mnafiki, mwanamke anaolewa ilimradi ilimradi tu.
 
Yaani hii kitu inauma mkuu. Mwanamke anakuwa muongo/mnafiki, mwanamke anaolewa ilimradi ilimradi tu.

Ila wanawake wengi misimamo sifuri na ukimkuta ana msimamo wengi ni ama single mother au keshasogea umri 35+ ni nadra sana kumkuta 20s ana msimamo zaidi atakuwa na nyodo akiamini ndio msimamo

Chopstick from Hong Kong
 
...usijali mkuu we oa tuu,kila mwanamke anamapungufu toka enz za adamu....hao ndo waliotutoa ktk bustan za Muumba,kikubwa ishi nao kwa akili...wanawake wapo weng sana ndo Mana mm nmejpangia Kama kuoa ntaoa wanawake kulingana na uwezo wangu wa kiiman na kuwamiliki ili sifikirii kuoa mke mmoja hyo ni risk sanaa
 
Ndugu mimi na wewe hatuna tofauti yoyote, mi mwenyewe najiona sina jinsi inabidi tu nioe ila nikiwatizama wanawake wenyewe navunjika moyo sana.
Kaka acha tu juzi Kati mke wa mtu kanipigia simu kisa alisha wahi kua mpezi wangu miaka mitona eliopita kaniambia beibi naomba mtoto kutoka kwako wakujikumbushia nili dwaa kaka, huyu ni mke wa mtu ndoa imemgharimu zaidi ya 30m tena yakanisani.....mimi hata sijachangia kitu neende tu nitunge mimba roho elikata siwezi kifanyia mwana umme mwezangu hivo wakati kuna wasichana wa vyuo wengi wamezagaa, ila kuoa kama huna sababu ya kuao acha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
...usijali mkuu we oa tuu,kila mwanamke anamapungufu toka enz za adamu....hao ndo waliotutoa ktk bustan za Muumba,kikubwa ishi nao kwa akili...wanawake wapo weng sana ndo Mana mm nmejpangia Kama kuoa ntaoa wanawake kulingana na uwezo wangu wa kiiman na kuwamiliki ili sifikirii kuoa mke mmoja hyo ni risk sanaa
Kuoa wanawake wengi unapaswa uwe fundi wa kushughulika na conflicts maana watu wa mitala wanakubali kuwa conflicts ni sehemu ya maisha.
 
Kaka acha tu juzi Kati mke wa mtu kanipigia simu kisa alisha wahi kua mpezi wangu miaka mitona eliopita kaniambia beibi naomba mtoto kutoka kwako wakujikumbushia nili dwaa kaka, huyu ni mke wa mtu ndoa imemgharimu zaidi ya 30m tena yakanisani.....mimi hata sijachangia kitu neende tu nitunge mimba roho elikata siwezi kifanyia mwana umme mwezangu hivo wakati kuna wasichana wa vyuo wengi wamezagaa, ila kuoa kama huna sababu ya kuao acha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka hapo umetenda kibinaadamu sana.

Sisi wenyewe wanaume inabidi tuheshimiane sana. Yaani lazima tuone si vizuri kuchukua mwanamke wa mwenzetu.

Sasa hapo namuonea huruma huyo jamaa maan mwenyewe anajiona kapata mke kumbe ni mpuuzi mmoja tu.
 
Hao pia wanachagamoto zao pia......ila hawa wa kwetu wabongo unaoa at your risk

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli kaka hata hao wanachangamoto zao lakini sidhani kama wanachukulia ndoa kimzaha mzaha kama baadhi ya wa hapa kwetu. Maana unakuta mtu unaolewa yaani ilimradi tu. Ila ujana wake hakubali kuuacha nyuma.
 
Back
Top Bottom