Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Eid Mubarak wakuu. Leo napenda kuwauliza Katika mahusiano yako uliyo nayo kipi kilikufanya uwe naye? Je, ni swaga zake? Mtongozo wake ndio ulikushawishi? Muonekano wake? Au uliunga nishiwa na...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Huyu mama mkwe kama mnafiki naona kama saizi ananipenda sana baada ya kuachana na mtoto wake. Nakumbuka uko nyuma niliwahi kaa kwake na mtoto ake alimwambia mtoto wake nirudi kwetu kwani sio...
2 Reactions
15 Replies
46K Views
Niliulizwa sehemu ambazo zina hisia kwa mwanaume nikajibu makalio nilishambuliwa sana na nimeitwa majina yote.. Leo naombeni mtazamo wenu wana MMU nifanye conclusion.
0 Reactions
135 Replies
30K Views
  • Closed
Mimi ni kijana ambaye nataka kuoa, kwetu ni Kigoma. Nataka kuoa binti wa kipare. Naomba msaada wa kuwajua kiundani zaidi tabia zao. Naomba kuwasilisha wanabodi wenzangu. Mchango: Ndugu yangu...
4 Reactions
250 Replies
56K Views
Ukiwa unaakili zako timamu! Unapita pharmacy! Unanunua zako condom! Unaweka mfukoni! Unaelekea zako lodge! ! ! ! Unapima kwa macho, Unajipa majibu negative!!! Unapiga kavu kavu ..Unaunganishwa...
6 Reactions
14 Replies
2K Views
Wapendwa za mida? Hivi mmeshawahi kukutana na hivi visanga wadada? Una date na mtu anakwambia "Wewe ni mtu mzuri, una deserve mtu tofautia na mimi?". Hujakaa sawa, unatimiza wajibu kama umeolewa...
2 Reactions
46 Replies
4K Views
Jitahidi unapokuwa kwenye mahusiano, utumie sanaa zaidi ili kuuteka moyo wa mpenzi wako. Mfano umemtongoza X leo, usikimbilie kwenye tendo moja kwa moja, bali muwekee mazingira ya yeye kuendelea...
7 Reactions
44 Replies
5K Views
Hi guys. Naomba hizi baraka za dhati ziwafikie WANAUME, Hasa wale wanaume wanaosimamia na kutekeleza majukumu yao ipasavyo. Nakumbuka muda mfupi uliopita I passed through a very rough road to...
163 Reactions
315 Replies
20K Views
Watoto na watu wazima hukabiliana na hali ya kuondokewa na wapendwa wao kwa njia tofauti. Mapokeo ya mtoto hutegemea umri, kiasi gani anaelewa na kiasi gani watu wa karibu nae wanajali. Watoto...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu habari za siku ndugu zangu wanaJamiiForums? Natumahi mu wazima kabisa? wanachuo wenzangu nawakumbusha siku ni chache turudi katika pilika pilika la kusaini boom, Wakuu niende kwenye mada...
0 Reactions
28 Replies
5K Views
Hivi wanaJF Nimekuja kwenu tujadili mada inayohusu mahusiano, na mada yenyewe ni kwanini watu wengi walioko katika mahusiano wanasema wanapata furaha sana wakiwa na simu zao kuliko wenza wao...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari zenu wadau Kawaida tunapoachana na wapenzi wetu huwa tunafuta namba zao za simu na kuwablock kabisa kwenye account zetu za social media Binafsi huwa nikigombana na mwenzi wangu na...
1 Reactions
56 Replies
9K Views
Habari zenu wana JF, Ni mda takribani ya week 3 sikua na access na JF na nikutokana tu nilikua katika kile kipindi cha fungate (honeymoon) au saba za mwanzo. Ilikua ni siku adhimu sana kwangu...
4 Reactions
41 Replies
4K Views
Habarini waungwana namsio waungwana.. Kwenye mada moja kwamoja, Jana nilikuwa nazigo toto lakirombo limejazia toto jeupe tiiii.... Nandio ilikuwa show yafungulia dimba yaani jana ndio kajua kama...
3 Reactions
50 Replies
5K Views
Kama swali ulivyoliona kwenye tittle je ukiwa ni mkristo ukamtongoza demu wa kiislam kipindi Cha mfungo Ni dhambi?bila kufanya mapenzi
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari wana MMU. Nia ya uzi huu kuomba msaada wenu wa mawazo. Niko ndoa kwa muda sasa, nilipata mpango wangu wa kando ambao mwanzoni niliuelewa sana. For story writing purposes naomba tumpe jina...
3 Reactions
42 Replies
4K Views
Habari ndugu zangu katika JF. Uzi huu hauna lengo la kuwasema vibaya single mothers nawaheshimu na kuwapenda. Lengo ni kujua changamoto zipi unaweza kukutana nazo ukiwa na uhusiano nao, hii...
5 Reactions
145 Replies
19K Views
Mnapoingia maisha ya ndoa na familia katika dini zote, makabila yote na sheria zote hazimpi mke au mume mamlaka ya kumfundisha au kumbadilisha kwani si jukumu lako na hakuna ushahidi wa maandishi...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Ndungu wana Jamvi nimeleta kwenu uzi huu ili tuweze kuuchambua, natumai humu wamo walioowa na wanaotarajia kuoa. Hapa utajifunza Mke wangu mimi ni darasa la saba, mimi nimemaliza chuo kikuu ni...
37 Reactions
100 Replies
7K Views
Wasalaam Kuna kamjomba kangu kalipata ujauzito kakiwa Semester ya Kwanza Degree ya kwanza, sasa hivi mtoto anaelekea miezi 6. Je, anawezaje akaendelea na masomo huku analea? Au mtoto apelekwe...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom