Leo nimekutana na mwanamke wa JF kibiashara, ni Mzuri ile mbaya

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Jun 25, 2019
2,732
2,477
Mimi ndimi?

eeebana leo nimemeet na mwanadada mmoja hivi wa humu jf, ilikua tumekutana kibiashara tuu, kuna eneo lake alikua ananiuzia, kilichonishangaza ni uzuri wa huyo mwanamke aseee, type za wakina hamisa kabisa asee, yupo poa kila idara.

kwanza ilibidi nimuulize "wewe ndio H au kakutuma tuu umuwakilishe???!!

duhh! hicho kicheko chake sasa " hihihhihiii ndio mie H"

duh! ilibidi niliache hilo lipite kwanza tuongee masuala yaliyotufanya tukakutana.

huyu dada hachangiagi sana mada hapa, na jina aliloweka ni kama la kiume, nadhan kaamua kufanya hivyo ili kuepuka usumbufu wa mafisi wa hapa Jamvini, maana yupo vizuri.

nashukuru biashara imeenda sawa, wewe ni mrembo sana.

hapa ndani kuna visu lakini havina tambo vipo cool sana wazee.
 
Atakuwa ni @maneypeny huyo

anaitwa. Hawa sauti yake tu ni balaa kwakweli .

mm nlibahatika kuongea nae tu
 
Back
Top Bottom