Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kwanini? Mnapishana na...... Ohh! Utakuwa wa hivyo hivyo.. Shauri yako.
6 Reactions
101 Replies
6K Views
Wanasema hakuna marefu yasiyo na ncha. Ni takribani 5yrs imepita tangu nifiwe na marehemu mke wangu. Mara baada ya mama watoto wangu kufariki nilikuta nimeingia katika mapenzi na mama mmoja ambae...
7 Reactions
30 Replies
3K Views
Hivi kama mpenzi wako anaongea sana kwa simu na rafiki yake wa jinsia tofauti ina maanisha nini hiyo? Jamaa alikuwa anapitia simu ya manzi ake, amekuta kuna jamaa anaongea naye mpaka masaa 2 (kwa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Mimi naitwa Jeff nakaa Dar. Nina miaka 40 natafuta mwanamke ambaye tutakubaliana kuoana. Nimeajiriwa na pia Nina shughuli zangu ndogondogo. Awe mwembamba asiwe mnene hata akiwa mnene asiwe na...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Naingia home toka job, binti akajua ni mimi naye akatoka ndani kwake na kuzungukazunguka huku ananisalimia nami nikamjibu kama kawa Ile nafunga tu geti na kugeuka niingie kwangu akapandisha kanga...
3 Reactions
24 Replies
4K Views
Nimejitajidi sana, nimejaribu sana ila imeshindikana. Maisha yangu yote sikuwahi na sitowahi lala uchi. Lazima nilale na boxer. Nimeshangaa kuna watu wanaweza. Ila mchana naweza shinda bila nguo...
5 Reactions
69 Replies
5K Views
Nilipataga mchumba MMACHAME kwao choka mbaya nikajitolea kumsomesha/kulipa ada na matumizi yote. Sasa kamaliza Bachelor Degree na kapata kazi UNICEF ghafla kanitumia message kuwa hanitaki tena...
29 Reactions
272 Replies
22K Views
Nina mshikaji wangu huyo ambae tangu utotoni tumekuwa kama marafiki lakini pia sisi ni watu ambao tunaheshimiana na tumekulia mtaa moja Ila changamoto iliyojitokeza kipindi cha hivi karibuni ni...
3 Reactions
34 Replies
3K Views
Huwaga najiuliza sana. Kwa nini matajiri wa Kaskazini na hasa Arusha na Kilimanjaro huwa hawadumu? Huyu mrema, Msuya, wakina Alfred Masawe na wengineo wengi, kwa nini huwa wanapata masanga ya kufa...
2 Reactions
41 Replies
9K Views
Maisha ya mwanadamu hayatabiriki na hasa kutokana na majanga ya maradhi ya hapa na pale. Mbaya zaidi nyakati hizi kuna maradhi yanapoteza uhai bila hata kujiandaa, umelala mzima unaamka...
2 Reactions
51 Replies
4K Views
Habari za muda huu wapendwa JF members Naomba niweke mezani mada hii kama kichwa kinavyo msema. Ni kawaida yangu siku zote katika mahusiano kitendo cha kuvunjika kwa mahusiano na mwanamke type...
0 Reactions
45 Replies
2K Views
Tusikimbilie kuoa kwa sababu umri umeruhusu kuoa, wakati uwezo wa kuhudumia ndoa bado kuimarika. Kuna watu wanakimbilia kuoa, na kuanza kusumbua watu wengine, ndugu, jamaa na marafiki kuwafadhili...
6 Reactions
39 Replies
2K Views
wapo watu watakoponda,kukashifu au kutoa kauli tofautitofauti juu ya mtu me/ke kuwa single. Ningenda kuorodhesha baadhi tu ya faida ya mwanaume/mwanamke kuwa single. Kuwa huru kufanya...
11 Reactions
802 Replies
89K Views
Habari wana jamvi, Natumai mmeamka salama. Naomba mwenye kunijuza hili anisaidie, kwa nini wanaume wengi mara tu baada ya kumaliza lile tendo la ndoa( kungonoka) akishamwaga tu unakuta analala...
8 Reactions
205 Replies
36K Views
Conversation inaanza hivi: GIRL: Siku ile nilipokuja kukusalimia ndio nilikuona vizuri BOY: Yeah ni kweli, (kwa utani) lakini si uliniona jinsi nilivyo mzuri kama wewe hahahah GIRL: Hahah...
2 Reactions
44 Replies
4K Views
Kiukweli jana, nilipewa tunda na dada mmoja hivi, anajua sana, anajua kupekecha, mpaka vumbi linatoka wakati kuna nyama. Aisee niliinjoy sana, asikwambie mtu kitu, mapenzi tunayopewa sisi wenye...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Nisipotumia ujana wangu vizuri nitasimulia nini uzeeni? Hii ni kauli inayowakuta wengi vijana, na kuamini kinachoweza kufanyika katika ujana waweze kukifanya, kwa sababu ku-reverse umri ni kitu...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Inakuaje waoaji wengi wa Siku hizi Mara baada ya kufunga ndoa uongozi wa familia anamsukumia mwanamke? Katika utafiti wangu nimekuja na majibu yafuatayo:- 1. Vijana wengi hawajiamini kama...
5 Reactions
14 Replies
2K Views
MAMBO 50 KUHUSU MKEO 1. Mkeo sio mkamilifu, msamehe. 2. Mkeo ndio uti wako wa mgongo, usiuvunje. 3. Mkeo ni tunu, mthamini. 4. Mkeo ni kito adimu, mtunze. 5. Mkeo ni rafiki yako bora, mfanye kuwa...
5 Reactions
101 Replies
9K Views
Kila Mwanamke utakayekutana naye tu ukimuuliza kapanga wapi atakumbia sehemu fulani lakini ni lazima atasema anaishi na Mwenzake. Kumetokea nini kwani mbona huko nyuma Wanawake wengi wa Dar...
6 Reactions
66 Replies
9K Views
Back
Top Bottom