Can you change your faith (religion) for the one you love?

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,047
21,519
Habari wakuu,

Eid Mubarak. Habari za pilika? Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, napenda kupata tathmini zenu kuhusu hili sala.

See, I got this friend of mine ambaye ni pure Christian (a girl) ambaye Yuko in relationship with a Muslim dude.

They have been dating for 1 year now and they both want to tie the knots ila changamoto inakuja kwenye upande wa kiimani coz my friend kwao ni pure christians na mshkaji kwao ni swala tano and to make matters even worse, wote wanaogopa kubadilsha dini maana itakua ni big issue kwenye familia na ki ukoo pia.

So what would you do?

IMG_20200524_090948.jpeg
 
Personally I would not and I would never demand someone change theirs for me.

Religion is supposed to be something that you genuinely believe in. I would never start practicing a religion I didn't believe in just for someone else.
 
Nitamwambia aje na anachokijua kwenye dini yake nami nije na nnachokijua tukae mezani tufundishane mwisho wa siku tunakubaliana Kipi sahihi cha kufanya sio lazima kufata kila kitu cha wazaz wana ukomo wao kwa watoto kuna kipindi mtoto anaanza maisha yake na mwenziwe inabidi wazazi wakae Kando kimaamuzi
 
Kwa kweli imani huwa haibadilishiki, atabadili tu mavazi kama alikuwa anavaa kanzu akienda mosque atavaa suruali akiingia kanisani, kama alikuwa akivaa sketi akiingia church atavaa baibui akienda msikitini, ila imani ya ndani haichange!
Ni muonekano tu wa nje hubadilika.
 
Back
Top Bottom