Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,712
- 8,769
Eid al fitri
Wahenga walisema usiache mbachao kwa msala upitao
Usitukane mamba kabla hujavuka mto
Yapata mwaka 2017 nilikutana na binti Fulani wa kisukuma ambaye alitoka zake chato huko na kuja mjini kusoma
Binti kiukweli ameumbika sana tu,ni black beauty, ana hips za asili kubwa kabisa,matege fulani pamoja na tako la maana
Basi bhana nikaanza kujipigia na kweli mtoto alidata sana maana nilikuwa namsugua sana na mkuyati
Binti alikuwa mwanachuo hivi vya level ya veta, mapenzi yaliendelea kwa kasi na vizuri sana
Sasa Mimi Nina mwanamke ambaye wakati huo nilishazaa nae mtoto mmoja ila hatuishi pamoja kutokana na majukumu ya kikazi
Yule binti baada ya kumaliza Chuo akapata kazi katika hotel Fulani upande wa reception, nikawa namtembelea pale hotelin kwake nakula bia nasepa
Baada ya muda binti alijua nina mke na nimezaa nae ,basi akalalamika mi nikamwambia sio kesi tuendelee tu nawe ukipata mume olewa tu
Baada ya muda akakata mawasiliano,siku nampigia kumsalimia na kumkaribisha ghetto asee aliniporomoshea matusi makali na kuniambia nikome kumtafuta kwa sababu ana mume nitamwaribia ndoa yake
Nikawa mpole nikamwomba samahani kwa kumtafuta,then nikafuta namba yake ,tukapoteana zaidi ya 2 years
Sasa juzi nipo mjini kwenye harakati zangu nashangaa nashikwa bega kugeuka nakutana na huyo manzi kafurahi mbaya ,Mara ooh nimekumiss sana jamanii,nipe namba baadae tuchat ,nikamwambia wee si una mume unataka nini kwangu binti analalamika na kung'ang'ania nimpe namba
Ikabidi nimwachie nisepe,sasa tangu wakati huo ananisumbua mno nikamgegede anadai huyo Mme wake sio mkaaji wa nyumbani anatokomea hadi mwezi hajakutana nae,anadai bado ananipenda sana ila alichelewa tu kukutana na Mimi hadi nikawa na mke
Kila Mara msg anataka tukutane tuongee tuyajenge upya mapenzi yetu
Je, wakuu ni halali kurudia tena kumla X wako na tayari ana mchumba wake ila analazimisha niendelee nae?