Dada zetu muwe mnaangalia wa kuwapa Mioyo yenu wanaume wengine ni Mawakala wa Shetani

Mzukulu

JF-Expert Member
Feb 14, 2020
1,401
2,631
MUME AMWEKEA PILIPILI NA KUZIBA NA GUNDI NYETI ZA MKEWE

POLISI katika Kaunti ya Taraka Nithi nchini kenya, wanamshikilia mwanaume mmoja aliyejulikana kwa jina la James Muriuki, kwa tuhuma za kumuwekea Mke wake Pilipili kwenye sehemu zake za siri na kisha kumziba na gundi.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Mei 21, 2020, na Ofisi ya Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai nchini humo, imeeleza kuwa mtuhumiwa alikamatwa akiwa mafichoni katika Kaunti ya Kitui, alipotorokea baada ya kutekeleza uhayawani huo.

Imeelezwa kuwa tukio hilo alilitekeleza Mei 16 mwaka huu, ambapo Mke wake huyo aliokolewa na majirani waliompeleka hospitalini akiwa na hali mbaya.

Ofisi ya DCI imesema kuwa James Muriuki aliweka Pilipili na Chumvi, katika nyeti za mke wake huyo kwa kutumia kisu, kabla ya kumziba na gundi, ambapo mara baada ya uchunguzi kukamilika hatua kali zitachukuliwa dhidi yake.

Chanzo: globalpublishers

Mzukulu nakiri rasmi kuwa ni kweli hawa Dada zetu ( Wanawake Wetu ) wana Kero zao na Matatizo yao tunapokuwa nao katika Mahusiano yetu ila nina uhakika kama leo tukisema tuchague Rais wa Wanaume wenye Roho Mbaya Ulimwenguni huyu Mpuuzi na Mpumbavu hapa juu atashinda tu.

Kwa ninavyojijua Mzukulu Mimi angemfanyia hivi Dada yangu tungeshagawana zamani mno Majengo ya Serikali ya Rais Dkt. Magufuli ambapo Mimi ningeenda zangu moja kwa moja Kuyaanza Maisha yangu Segerea na Yeye nina uhakika hadi muda huu Maiti yake ingekuwa Mochwari tayari kwa Kuzikwa.
 
Huwa sishangai visa kama hivi hasa vinapohusisha WIVU WA MAPENZI. Wanawake wanaweza kumfanya mwanamume akawa shetani bila kujijua
 
Tukiwa tunawaambieni kuwa kila Mwanaume ajitahidi awe na Hawara ili ku balance Stress za Wake zetu muwe mnatuelewa!!!
Hapa ndo ulipoharibu .....

Wapo wanawake wanachit ....ila sio kwa kupenda ila kutafuta faraja nje pia.

So ikiwa unachit .....jiandae kisaikolojia mwenza wako anaweza lipiza kisasi muda wowote......

Inaweza hata kukuchukua miaka kumi kuja kumkamata au kuhisi...

Ukiona umemkamata ujue hajakuheshimu au lile neno bahati mbaya limetimia

maana wanaume wanaonaga wao ndo wanaumia zaidi.
 
Back
Top Bottom