Katika mahusiano anayeumia zaidi kwa kutendwa ni Mwanamke

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
29,397
40,288
Katika mahusiano, anayeumia zaidi kwa kutendwa ni mwanamke kwasababu anakuwa hana maamuzi aje aishi na nani kutokana na asili iliyopo ya kusubiri yeye kutongozwa. Kama atakuwa anatendwa mara kwa mara huku umri ukiwa unasogea anakuwa na maumivu katika nafsi yake; ndio maana mambo ya vibe10 n.k vinakuwepo ili kutuliza maumivu aliyonayo.

Cha kufanya ni kila mmoja kuakikisha uhusiano alionao unatija na kufikia mategemeo aliyokusudia, kuoa ama kuolewa. Kama una uhusiano unaozidi miezi sita na hakuna dalili au viashiria vya ndoa, zaidi ya kupigana mpini na kula bata; nakushauri uuvunje mapema kabla hujapotezewa muda.
 
Thamani ya mwanamke ni tabia zake katika huo uhusiano na probably kind of thinking.

Mwanamke akiwa mpuuz na anaendeshwa na tamaa ataendelea kuwa chombo cha starehe kwa kila mwanaume atakayekuwa nae katika mahusiano.

TIP: Mwanamke anatakiwa kuishi na mume kwa hekima na awe msaidizi kwa mwanaume wake. Usaidizi sio wa kutafuna hela tu bali wa kutoa mawazo chanya ya kuzalisha maendeleo zaidi. Ishu ya sex sio swala la kuelezea sana ila ni kitu kipo naturally, wahenga walishasema mficha uchi hazai 😂😂😂!!!
 
Cha muhimu ni kucheza na muda miezi 6 kama hakuna dalili za kuwa mume na mke ni kupiga chini tu
Kwa kikao tulichokaa mabachela wik mbili zilizopita..tuliamua hatuoi had tufike 35yrs old.
Watasubir sana..na hvo unawashaur wakiona hamna ndoa in 6 months wapige chin.bas
Ztakazoumia ni viungo vyao vya uzaz.maana watapicha chin sanaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thamani ya mwanamke ni tabia zake katika huo uhusiano na probably kind of thinking.

Mwanamke akiwa mpuuz na anaendeshwa na tamaa ataendelea kuwa chombo cha starehe kwa kila mwanaume atakayekuwa nae katika mahusiano.

TIP: Mwanamke anatakiwa kuishi na mume kwa hekima na awe msaidizi kwa mwanaume wake. Usaidizi sio wa kutafuna hela tu bali wa kutoa mawazo chanya ya kuzalisha maendeleo zaidi. Ishu ya sex sio swala la kuelezea sana ila ni kitu kipo naturally, wahenga walishasema mficha uchi hazai 😂😂😂!!!
Kweli mkuu, kuna wengine kimwili ni wakubwa ila kimtazamo ni watoto; wanakuwa wanatafuta wanaume waliofanikiwa tayari, bila kujua mali zinatafutwa. Ndio wengi wanaishia kuchezewa na kupotezewa muda
 
Suluhisho mtu ajitaka mahusiano na wewe nyie kinadada jutahudi muache tamaa ya kutaka sijui vipesa sijui matanuzi sijui nini wewe mweleze njemba malengo yako sio mnajirahisisha tu.

Njemba akajitambulishe kwa wazazi/walezi wako na wewe uende kwao wakuone mmalize.Afu muwe mnaangalia na mtu wa kuwa nae msome kwanza historia yake au familia yao wana maadili gani sio unajitelezesha kama mmekanyaga ganda la ndizi.

Afu hakikisheni hivi vinjemba vya kula na kuondoka mnavikwepa.Vipeni mitihani mtu serious aanzagi kufikiria migegedo.
 
Back
Top Bottom