Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wengi wakijifanya wanakujua sana usiogope, watazameeee Kisha sema hiiiiii! Unajua nini bro hata mama yako kakuzaa tu ila hakujui kivile, sembuse washikaji wa kwenye kijiwe cha bodaboda/kahawa...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari MMU Naomba niwape ujumbe nilioutafakari kwa kipindi kirefu,mimi sijaolewa kwa maana hio sijui ndoa ila ntawashauri wanaume mliooa wenye ndoa zenu. Wanaume mna hii mentality kuwa huwezi...
42 Reactions
530 Replies
37K Views
Nimekaa na tafakuri ya kina nilipoona mabaki ya bar maarufu sana kinondoni iliyobomolewa jana au juzi, bar ya Mango garden Nikajikuta nakumbuka na viwanja vingine vilivyokuwa na utata wa kutosha...
35 Reactions
163 Replies
30K Views
Natumai hamjambo wakuu. Wakuu wakati nayaanza mapenzi nilipomgegeda mwanamke akalia na kulalama kua anaumia nilikua namuonea huruma sana nampa pole kisha napunguza kuchochea kuni nikidhani...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Habari zenu wadau! Nimekuja kwenu kuomba ushauri. Mi ni kijana wa kiume nipo single namanisha sijaoa. Katika harakati za maisha nimefanikiwa kujihusisha wanawake kadha wa kadha kwenye mapenzi...
3 Reactions
32 Replies
3K Views
Hivi we dume zima umeoa na watoto, eti daily uko bize kugegeda wake za wenzio na kutoa siri za mkeo kwa hao mahawara zako, mpaka wanamtusi mkeo! Na wewe upo tu huwezi kuwadhibiti hivi na wewe ni...
1 Reactions
131 Replies
9K Views
Hello wapendwa. ..Kwa heshima na taadhima na fur aha napenda kutangaza nimepata mwanaume au tuseme rafiki na nimempenda na kwasasa tupo kwenye urafiki. He is educated and matured. Yani my type and...
2 Reactions
76 Replies
9K Views
Tofauti na mwanzo nilikuwa na enjoy kila nikifanya mapenzi ila kwa sasa hakuna kitu kila nikifanya mapenzi naboreka mpaka namchukia Mfanywaji. Yaani inafikia kipindi Papuchi naiona ni kitu cha...
7 Reactions
70 Replies
5K Views
Kumekuwa na tabia ambayo si nzuri kwenye mahusiano, unakuta kijana wa kiume ameoa, ana mke na watoto; Mbaya zaidi ndugu wa mwanaume wanakuwa wanaegemea upande wa mwanaume tu, watafanya naye...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Kubadilisha wapenzi mara kwa mara jua hilo ni tatizo/ugonjwa. Jitahidi kulitibu kabla aujawa mzee. Unakuta ndani ya miaka michache au muda mfupi umekuwa na wapenzi wengi mpaka wakati mwingine...
3 Reactions
28 Replies
2K Views
yaani tangu mwezi huu uanze nimekuwa nawaza sana divorce. Naona ndoa yangu ipo ipo tu, yaani hakuna maudhi wala furaha. Natambua wazi ana mtu wake ampendae tatizo huyo dada ni wife ya mtu pia ila...
8 Reactions
453 Replies
29K Views
TAFITI: Matatizo ya kisaikolojia kama sonona/huzuni kuu (depression), wasiwasi (anxiety) na matatizo mengine ya akili kipindi cha utoto huathiri sana kipato cha baadae na maisha yao ya mahusiano...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
[emoji39]
0 Reactions
2 Replies
723 Views
Mwanaume mmoja nchini Kenya amejisalimisha kituo cha polisi cha Embakasi Jijini Nairobi akiwa hana nguo baada ya kukimbia kutoka kwenye fumanizi nyumbani kwa mke wa Mwanajeshi. Imeelezwa kuwa...
4 Reactions
31 Replies
4K Views
Wakuu sijui kwanini niko hivyo, mwanamke akiniomba hela sijui ya kusukia huwa namuona kama mtu mwenye ufikiri mdogo na naweza nikampotezea mazima! Yaani katika mambo yote ya msingi na changamoto...
15 Reactions
105 Replies
10K Views
Baada ya kukaa lockdown na kuamua kuvunja taratibu za lockdown baada ya mauaji ya G. Floyd. Tulishiriki maandamano katika maeneo mbalimbali ya Atlanta a.k.a ATL. Hivyo basi leo nikaone nisogoze...
3 Reactions
43 Replies
3K Views
Habarini za siku ndugu zangu, poleni na majukumu ya hapa na pale, Baada ya kuleta uzi kuusiana na maswahiba ya mpenzi wangu kubadilika ghafla, na kwa upande wangu kujaribu kujua kinachomtatiza...
3 Reactions
20 Replies
3K Views
Kitendo cha wazazi kufurahia shule kufunguliwa huku wakisema maneno mfano:- "afadhali watuondolee usumbufu nyumbani". .. Hii inaonesha wazi kabisa leo wazazi kuwapeleka watoto shule ni kukwepa...
8 Reactions
37 Replies
3K Views
Habari zenu wadau, wakubwa kwa wadogo... Natumai mko poa na mnaoumwa Mungu awajalie unafuu ikawe heri Naomba niende moja kwa moja kwenye mada Nina swali ambalo nahitaji majibu na ufafanuzi...
5 Reactions
25 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…