ndayilagije
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 7,490
- 8,305
Wengi wakijifanya wanakujua sana usiogope, watazameeee Kisha sema hiiiiii! Unajua nini bro hata mama yako kakuzaa tu ila hakujui kivile, sembuse washikaji wa kwenye kijiwe cha bodaboda/kahawa! Endelea na Mingo zako bana hawakujui
Tena wasikutishe kabisa kwanza hata wewe mwenyewe hujijui Kama vile ungepeda sasa wao watakujuaje?
Ila jitahidi tu usiwe na kiburi, wakisema wewe ni mchaga sema ndiyo, wakikuita mkinga sema ni kweli, wakikuambia mshamba wambie kweli nimeshuka jana kwenye Lori la mbao kutoka Lungemba, hata nauli sikuwa nayo wamenipa lifti tu.
Maisha ya mjini yana vijimambo sana. Kule kwetu Rulenge hakuna huo ujinga huo.