Kubadilisha Wapenzi mara kwa mara, ni tatizo linaloanzia utotoni

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,483
54,853
TAFITI: Matatizo ya kisaikolojia kama sonona/huzuni kuu (depression), wasiwasi (anxiety) na matatizo mengine ya akili kipindi cha utoto huathiri sana kipato cha baadae na maisha yao ya mahusiano kama kuchelewa sana kuoa/kuolewa au kubadilisha sana wapenzi. (Tiba Fasta)
 
Kwa hiyo mkuu unataka kuniambia na mimi ni mgonjwa??

Maana nina list ndefu kuanzia Kimara mpaka Posta ya Feri.
 
Ni kupendwa wewe. Hivi unadhani nani atakubali kuacha pesa kirahisi waafrica wamezoea polygamous family. Wana nguvu km simba
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom