Wanaume na Wanawake wengine bhana! Sijui ikoje

Wanaume na Wanawake wengine bhana! Sijui ikoje

ayanda

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2013
Posts
1,340
Reaction score
751
Hivi we dume zima umeoa na watoto, eti daily uko bize kugegeda wake za wenzio na kutoa siri za mkeo kwa hao mahawara zako, mpaka wanamtusi mkeo! Na wewe upo tu huwezi kuwadhibiti hivi na wewe ni mwanaume au jike dume tu! uko bize kugonga wake za wenzio, na wa kwako aende wapi? Ushauri wa bure kwa waume, JAMANI UKITOKA NJE PLIZ PLIZ ANGALIA NA WA KUTOKA NAE, PIA CONCETRATE NA HUYO HAWARA YAKO SIO KUMSEMASEMA MKEO. Inahusuuu

kwa wake za watu wenzangu, najua wengi wa wake za watu wanagongwa sana siku hizi tena wanagongwa na waume za wenzao. SASA BASI UKIAMUA KUJIPOOZA KWA MUME WA MWENZIO, USIJIONE UPO JUU, MAANA HADI UKAGONGWE NA MUME WA MWENZIO HALI WE NI MKE YA MUTU, INA MAANA NDOA YAKO PIA IMEKUSHINDA AU IMEKUCHOSHA

Ndo maana sipendi kusherekea hat sijui WOMEN'S DAY, UPUMBAF MTUPU.
 
Mh pole dada unamatatizo gani hadi umekuwa simulizi kwa kila mwanamke anayekuwa na mumeo?

Mh na hao wake za watu wanaotembea na waume za watu wanamatatizo na maspinster waende wapi?
 
Pole sana Ayanda.
Umeongea kwa tone inayoonesha wazi kuwa yanakuhusu ama umekuwa shahidi wa me/ke wanofanya hayo. Lkn usiichukie siku ya mwsnamke kwa sababu hiyo tu kwani siku hiyo haimaanishi hilo tu kwa mwanamke. Ujumbe wako umefika.
 
hata usiposherekea hayatuhusu,ngoja nitafute mtoko nikasherehekee viuri naona hapa tunaharibiana mood anakuja mwita na marwa!!!!!!!!!!

ha ha ha ha mtoko mwema bidada! wapi leo?
 
Mh pole dada unamatatizo gani hadi umekuwa simulizi kwa kila mwanamke anayekuwa na mumeo?

Mh na hao wake za watu wanaotembea na waume za watu wanamatatizo na maspinster waende wapi?

wote tutajibana kwa waume za watu wangu! kinachonikera watu hawajui kula kimya kimya! kushare muhimu, cha msingi kimya kimya
 
Mi ndomana sito owa hakuna faida yoyote unamke afu unagongewa taendelea kuwagegeda na kusepa hamna kuweka kambi
 
Huko ulikokurupushwa duuuu!!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
wote tutajibana kwa waume za watu wangu! kinachonikera watu hawajui kula kimya kimya! kushare muhimu, cha msingi kimya kimya

Kha mi nlizani unakataza kumbe kama ukila kula kimya kimya..makubwa!

ila kuna mdau alisema UKICHOKA KUFANYA SIRI, FUMANIWA TU YAISHE.
 
Mi ndomana sito owa hakuna faida yoyote unamke afu unagongewa taendelea kuwagegeda na kusepa hamna kuweka kambi

maskini mlati, unaogopa ukweli kuhusu maisha. Wake za watu wanagongwa na waume za watu tena kwa sana. Hapa juzi kati nilikua nachart na wadada 2 (wake za watu) wana stress mbaya, eti waume zao hapigi kazi ipasavyo so wakipata vidumu itakua poa. Sharti waliotoa ni kwamba kidumu LAZIMA KIWE MUME WA MTU, BACHELOR HAJUI MAJUKUMU.

HA HA HA HA ACHA NICHEKE MIE
 
Kha mi nlizani unakataza kumbe kama ukila kula kimya kimya..makubwa!

ila kuna mdau alisema UKICHOKA KUFANYA SIRI, FUMANIWA TU YAISHE.

HA HA HA WE nawe usinipe majukumu mie, ah yani Mungu mwenyewe anakataza (REF: BIBLE & KORAN) na bado watu wanafanya! sasa mie nikataze kwa locus standi ipi? We vipi? Hata mie nilikuaga mkali sana na watu kutoka nje badae ikanibidi niunge tera, japo kwa kubip la sivyo naweza kufa kwa presha na stress hizi!

Ukiwa serious na mahusiano utapata either presha au ugonjwa wa moyo. ANAYEFUMANIWA AMEVUKA MIPAKA YA MCHEZO MZIMA. Inauma but ndo ukweli
 
sitajibu swali lako, la kitoto sana! unataka nigongwe na bachelor kwani mie single lady?

OK - sasa kama unagongwa na mume wa mtu unalamika nini? au mume wako amegonga mke wa mtu na huyo mke wa mtu amekuja kukutambia?

BTW: Umalaya ni wa mtu ni kuzaliwa nao, hata nini kifanyike...!
 
HA HA HA WE nawe usinipe majukumu mie, ah yani Mungu mwenyewe anakataza (REF: BIBLE & KORAN) na bado watu wanafanya! sasa mie nikataze kwa locus standi ipi? We vipi? Hata mie nilikuaga mkali sana na watu kutoka nje badae ikanibidi niunge tera, japo kwa kubip la sivyo naweza kufa kwa presha na stress hizi!

Ukiwa serious na mahusiano utapata either presha au ugonjwa wa moyo. ANAYEFUMANIWA AMEVUKA MIPAKA YA MCHEZO MZIMA. Inauma but ndo ukweli


Nakusemea kwa dada zangu gfsonwin na snowhite...Dadaaaz huyu anachakachua my mind!!!
 
Last edited by a moderator:
OK - sasa kama unagongwa na mume wa mtu unalamika nini? au mume wako amegonga mke wa mtu na huyo mke wa mtu amekuja kukutambia?

BTW: Umalaya ni wa mtu ni kuzaliwa nao, hata nini kifanyike...!

Naona hujanielewe, i used to complain but i stoped baada ya kukaa na kutafakari kuhusu ndoa kama taasisi na mapenzi kama hisia. mimi sijalalamika, ninachofanya ni kutoa ushauri kwa waume na wake. Mume ukiamua kutoka, basi we nenda kaenjoy na hawara yako kimpango wenu sio kutoa siri za ndani huko.Pia chagua mwanamke ambae ana akiri ya kiutu uzima(mature) sio mishangingi kama DA sOPHY.

Na kwa wanawake pia, kama umeamua kutembea na mume wa mtu, basi huna haja ya kumsimanga mkewe wala kumtusi jamani, we ruka na mumewe kivyako. NDO MANA NASEMA KIMYA KIMYA, INFACT MUME WANGU ANGEJUA KUDHIBITI MAHAWARA ZAKE, KWELI NISINGEFIKA HAPA.

PIA WAUME MUWE MNAPIGA NJE KWA KUBIP SIO UNAMALIZA NGUVU ZOTE NJE THEN KWA WIFE UNAFIKA KUSIMAMISHA SHUGHULI.

AH SOMO HILI,MWENYE MASIKIO NA ASIKIE.
 
Back
Top Bottom