Apart from money, what makes ladies fall in love fast?

DiasporaUSA

JF-Expert Member
Aug 27, 2016
23,291
29,485
Baada ya kukaa lockdown na kuamua kuvunja taratibu za lockdown baada ya mauaji ya G. Floyd.

Tulishiriki maandamano katika maeneo mbalimbali ya Atlanta a.k.a ATL.

Hivyo basi leo nikaone nisogoze mawazo kidogo na watanzania wenzangu hapo nyumbani kwa kuleta mada yenye swali

Apart from money, what makes girls fall in love fast?

Ieleweke kwamba girls are distinct from women/ladies.

Kuna raia wanasema girls want Loyalty, consistency, integrity... etc etc. Ila kwa upembuzi wangu naona kama hivyo havitoshi kuwafanya girls wa fall faster.

I remember when i was still a teenager, some few girls used to tell me that "You know what Kenny , I have decided to fall in love with you cause You look Charm,Smart and Handsome"! And I could reply with "ooooooh wow" what a lucky.

Then with the rest of other girls I dated, the money thing always popped up so fast
 
Umetumia formula gani kuitoa hela kwa wadada na kuweka hayo ma u handsome sijui ma charming n.k..?

Mi nachojua ku wawin hao the fast formula ni hela au money ama mtonyo au fedha ama kichele au moneypesa that's the formula!..

Sasa anza kujiuliza on how u handsome utamlipia kodi..?
On how u charming utamnunulia red bull..?
On how six packs utamtatulia tatizo lake la kujipaka wanja au mkuu wewe unataka wajipake mkaa..???
 
Back
Top Bottom