Kubadilisha wapenzi mara kwa mara jua hilo ni tatizo/ugonjwa.

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
29,174
39,936
Kubadilisha wapenzi mara kwa mara jua hilo ni tatizo/ugonjwa. Jitahidi kulitibu kabla aujawa mzee.
Unakuta ndani ya miaka michache au muda mfupi umekuwa na wapenzi wengi mpaka wakati mwingine unajishangaa.
Ukiona una-achana achana na wapenzi mara kwa mara jua mwenye tatizo ni wewe na si hao wapenzi unaokutana nao. Jaribu kujirekebisha ili mahusiano yako yadumu. Kuanzia kwenye tabia, aina ya maisha unayoishi (kama una-fake acha ku-fake),ujuaji mwingi n.k
 
Back
Top Bottom