Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 14,537
- 31,686
Wakuu sijui kwanini niko hivyo, mwanamke akiniomba hela sijui ya kusukia huwa namuona kama mtu mwenye ufikiri mdogo na naweza nikampotezea mazima!
Yaani katika mambo yote ya msingi na changamoto kibao zilizopo, mtu anakaa huko eti naomba hela nikasuke. Kwangu mwanamke bora aombe tu hela asiseme anaenda kufanya nini, kama mtu anashindwa kuafford kusuka nywele kwanini asizinyoe tu?
Kiukweli mimi sijawahi mpa mwanamke hela ya namna hiyo, sijui kama ni complications zangu tu..ila huwa naona ni issue ambayo ni minor sana!