JE! KUOTA UNAFANYA TENDO LA NDOA NI DHAMBI?
Neno la Msingi:
Yuda 1:8
“Kadhalika na hawa, katika KUOTA KWAO, huutia MWILI UCHAFU, hukataa kutawaliwa, na kuyatukana matukufu.”
Watu wengi...
Kwamfano nina stress zangu nawazaga tuu, Yani nakua Kama napiga story mwenyewe, Yani ubongo wangu ni two in one, naweza nikawaza mtoto wa mh rais wa kike ananipenda Sana Ila anaogopa kuniambia...
Mimi ni Mwanadada naishi Kaskazini, kabila Langu ni Mmasai na nina umri ambao nitayari kuolewa nakuwa na mume. Sifa zangu mimi ni mpole na pia napenda kuwaheshimu watu wote.
Mimi ni muelewa na...
Habari wakuu
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 24.
Elimu yangu ni chuo kikuu
Natafuta mpenzi ambaye atakuja kuwa mume mwenye umri wa miaka 50-60
Nimechoka kuumizwa na vijana wadogo
Kikubwa awe...
BABA NIFUNDISHE KUHUSU WANAWAKE
"Nikufundishe nini mwanangu kuhusu wanawake?Baba yako nimezeeka ghafla nikiwa na ufahamu mdogo na mwanangu umeshakua kiasi cha
kuhitaji elimu hii adhimu, nikupe...
Kuna kundi kubwa la mabinti au wanawake walio kwenye mahusiano, simulizi zao kuhusu mahusiano yao ni tofauti kabisa na uhalisia.
Utakuta binti anasema "nimesota sana kumpata huyu mme wangu yaani...
Moja kwa moja kichwa chajieleza, tafiti mbalimbali zinasema mwanamke akipenda amependa kweli huwa habakishi ziada. Hii ni kweli kiasi cha kutoka na mm nimeshuhudia mara kadhaa. Kwa hili nawasifu...
Wakuu kweli ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni. Kuna bwana mmoja ni jirani ana utani sana na shemeji yake, kila wakikutana/kupigiana simu na shemeji yake humuuliza leo umempiga vingapi dada...
Takriban mwaka wa 4 sasa tupo katika mahusiano na mpenzi wangu. Maisha ya uhusiano wetu yametawaliwa furaha kwa muda mrefu lakini leo ni siku ya tatu amesafiri kikazi Dodoma na kilichonistua zaidi...
Kumbe kuwa na demu mmoja jau sana yaani jitu unalibembeleza yeye tu kilasiku yaani jumba kubwa nalala pekeyangu week nzima mpaka wakina Annabele na The NuN wanitokee.
Lenyewe linaringa hilo...
Habari.
Moja ka moja kwenye maada, Ni sahihi mwanamke/mke/girlfriend kumkosoa mume wake/boyfriend anapokosea?.
Mfano, mwanaume kamtumia mwanamke/mke wake text kwa lugha ya English. Hiyo text...
Natumai muwazima wa afya tele wananzengo.
Leo napenda kuwakumbusha kidogo wanawake walio katika ndoa. Wanawake wengi walio katika ndoa wakikosewa/kukosana na wenza wao mara nyingi hulipiza kisasi...
Ndugu zangu wanaJF, naombeni ushauri wenu.
Nina mwanamke wangu nampenda sana na ninamuelewa kwa tabia zake za uvumilivu,heshima kwa ndugu zangu, nikikosea hata nikikosea huwa mwepesi kunikosoa...
Habarini wana jamvi,
Kama mada inavyojieleza, nipo kwenye uhusiano wa kimapenzi na bint mmoja wa kimakonde yapata mwaka mmoja na nusu sasa, mwaka jana alijiunga na chuo kimoja akisomea...
Habari zenu wakuu
Jibu lilikuwa hivi:
" ..... naona nisikupotezee mda na uwekezaji wako kwangu mimi sina furaha na mahusiano tutayoanzisha, siku njema"
Uwekezaji huu ulikuwa ni wa miezi 7...
Naombeni ushauli wenu wana JF
Hivi mtu ukishagundua mpenzi kabadilika kitabia hayupo kama zamani alafu kila ukijitahidi kumrudisha kwenye mstari unamuona kama amekuwa mzito
Ni kitu gani cha...
Mimi binafsi hawa viumbe, wananivutia sana ninapowatazama wakiwa kwenye mwendo. Hakika nafsi yangu husuuzika sana. Sijawahi kupata bahati ya kuwatumia hata kidogo.
Huu utakatifu tunaojivika huu...
Leo wakati nipo ofisini kwenye duka langu la vifaa vya ujenzi nilipatwa na kibweka Cha kushangaza. Kiukweli Mimi nisipofanya mapenzi kwa mda mrefu nakuwa napatwa na kitu Kama kifafa au dege dege...
Natumai hamjambo wananzengo
Wakuu kuna hili suala la kuwashirikisha wake zetu katika kupangilia matumizi ya kipato cha familia, mara nyingi tunapopangilia huwa tunawakabidhi pesa za mipango...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.