Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,985
- 25,204
Tofauti na mwanzo nilikuwa na enjoy kila nikifanya mapenzi ila kwa sasa hakuna kitu kila nikifanya mapenzi naboreka mpaka namchukia Mfanywaji.
Yaani inafikia kipindi Papuchi naiona ni kitu cha kawaida sana mpaka naizarau, ila tu ikipita siku tatu sijatoboa nakuwa na hamu ya juu sana. Nikisaka papuchi tu nakutoboa nakuwa naboreka tena na kumchukia mfanywaji.
Hali hii inanifanya nisidumu na demu mmoja kabisa sijui kwa nini na sijui ni nini Tiba yake?