Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ilikuwa ni kazi ngumu ilinichukua takribani Miezi mitatu moyo wangu kukubaliana na matokeo sasa mpenzi wangu kanichoka haitaji kuendelea na mimi na ananifanyia kila aina visa vitavyonifanya niumie...
19 Reactions
60 Replies
7K Views
Usioe ama. Kuolewa. kukamilisha IBADA ya ndoa Italia WHY IT IS IMPORTANT TO MARRY A PRAYERFUL SPOUSE 1. God will teach him/her how to love you through prayer 2. God will reveal things...
5 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wakuu wa kazi, iko hivi nimeanza mahusiano tangu nipo kidato cha tatu hadi hivi sasa nimemaliza chuo nipo kazini lakini wasichana wangu wote niliokuwa nao kwenye mahusiano wamekuwa ni watu...
4 Reactions
32 Replies
3K Views
THINGS WIVES SHOULD KNOW. 1. Don't put anyone above your husband. Your husband comes first in the order of your relationship. 2. Don't deny your husband attention. Sexual and romantic attention...
9 Reactions
62 Replies
4K Views
Habari zenu Jamaa, Napenda kujua kati ya vitu ivi ambavyo nimepita pahala nikaona ubishani huu. Ni kitu gani watoto wa kike wanapenda kwa mwanamme kati ya ivi viwili; Namba 1. Mwanaume mwenye...
4 Reactions
241 Replies
31K Views
Habari wakuu, Siyo jambo la kawaida lakini imenibidi kuianika hii namba (Namba 0623600...) ila kwasababu huyo jamaa anamsumbua sana mke wangu (kwenye simu) Ukiona tu chatting zake unagundua wazi...
2 Reactions
61 Replies
6K Views
Kuna jambo linatokea hapa naona kama marafiki wananitenga jamani nifanyeje? Maana yake sijui kosa langu mpaka kutengwa na washikaji ila nihisi ni kwa sababu nakunywa pombe sana
2 Reactions
94 Replies
9K Views
..
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Hallow JF members,, Mimi ni msichana wa Kitanzania kwa mara ya kwanza najitokeza ktk jukwaa hili kutafuta mwanaume ambaye Mungu akijaalia Inshaallah awe mume wangu. Sifa zangu.. Umri 28 kidini ni...
39 Reactions
179 Replies
35K Views
Kwa Kheri mzee wetu Mkapa, Mungu akurehemu huko uendako. Nimevaa viatu vya mzee Mkapa kwenye mahusiano yake yenye moyo wa kipekee, havinitoshi kabisa na sio mimi tu karibia wanaume wengi wa karne...
34 Reactions
81 Replies
10K Views
Mahusiano ni kama Gari la masafa marefu, Tena lenye linapitia barabara yenye mashimo, milima na mabonde. Inabidi muda wote ucheze na usukani, ukilala tu utajikuta ulisha acha barabara mda mrefu...
8 Reactions
72 Replies
6K Views
Habari za humu ,nimekuwa na mfululizo wa thread lakini na wewe utajifunza kupitia hiki kisa kilicho nitokea leo tarehe 25.03.2020 mida ya mchana. Nisipoteze muda twende kisa chenyewe kama...
10 Reactions
215 Replies
19K Views
Habari za alfajiri wananzengo. Bila shaka mtakuwa mmeamka salama (Tuseme alhamdullilah), nami nikaona angalau niweke hiki kisa changu cha ukweli ili kuwa changamsha kidogo na haka kabaridi ka...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wana JF. Kuna jambo nimeona ni share na nyie maana kilichotokea juzi mtaani kwangu ni hatari. Jamani wanaume wenzangu unapokuwa kwenye mahusiano ambayo yako serious mpaka ukafikia hatua...
4 Reactions
28 Replies
3K Views
Habari wadau? Ukiishi duniani ni vigumu kuwaepuka jirani marafiki ndugu nk. Lakini kuna mahali ambapo unapitia unahisi kabisa mtu fulani anakuumiza kwa vitendo vyake anavyofanya kwa kufanya mambo...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Watu wengi waliooa hudhani wanapata tendo la ndoa bure au kwa urahisi kuliko sisi ambao hatujaoa na mara nyingi watu wakitaka uoe hua wanakutamanisha kua oa uwe unakula tunda bila wasiwasi na bure...
4 Reactions
44 Replies
5K Views
Kama swali linavyojieleza hapo juu Ulijuaje kwa hatua hii tuliyofikia na mpenzi wangu au aliyekuwa mpenzi wako hapa hakuna tena mapenzi na Mimi penzi lake kwako limeshakwisha? Mimi upande wangu...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Sasa leo nataka tuweke wazi swala zima la wasichana wa kitanzania kuolewa au kuwa na maboyfriend wa kizungu. Mimi binafsi nime-notice kwamba wasichana wengi wa kitanzania wamekuwa wakiona kwamba...
10 Reactions
100 Replies
23K Views
Naomba niulize ikiwa inawezekana mvulana na msichana wawe BFFs tu na kubakia friendzone bila nia za kimapenzi ama watakua wanajidanganya tu? Maoni yenyu tafadhali...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Ni Kaka yangu tumezaliwa mama mmoja baba tofauti,miaka 10 iliyopita alinipigia simu akaniuliza kama nina mpango wa kuoa,nikamjibu naaaamu nina mpango huo ila bahati mbaya kila nikiangaza hukuhuku...
3 Reactions
135 Replies
12K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…