Kwa akili yangu na kuona jambo ambalo litanifaa kumwambia mtu ukweli kuliko kukaa kimya ni vizuri kuanza moja.
Ni bora kuwa wa moto au kuwa wa baridi kuliko kuwa vuguvugu.
Ukweli utaniweka...
Ukioa mwanamke kwasababu tu ana sura nzuri, anavutia, ana shape, ana wowowo kubwa utajuta, tena utajuta baada ya miaka mitatu tu. Adui number moja wa mwanamke ni muda tu, nadhani tumeelewana...
Habarini za leo wakuu wangu,
Natumai mu wazima wa afya njema, kama kawaida yangu nina katatizo fulani nimeona nije niombe ushauri.
Nadhani mnakumbuka hapa majuzi nilipokea kichapo kwenye ile...
Habari za mida hii wakuu, nauliza wanaume mkeo au mpenzi wako akikuita baba unajisikiaje? Mfano anakwamia uko wapi baba? Pole baba na wanawake ni sahihi kumuita Mume baba?
Kabla ya kumpenda mwenzako jipende wewe kwanza. Kuanzia kwenye mavazi, chakula (lishe), tabia, afya, mahitaji yako ya lazima n.k. Sio wewe kujitesa na kujiwekea mazingira magumu ili unayempenda...
Kipindi fulani wakati na date na namba D niliwahi kupata mkasa mmoja uliniacha na maswali mengi kuliko majibu ilikuwa hivi
Nilikuwa na date na dada mmoja wa kichaga kama tujuavyo kuna siku una...
Wakuu salam
Ni hivi, huyu binti nimekuwa nae kwenye mahusiano nilipokuwa chuoni, yeye pia akiwa chuo, makubaliano yetu ilikuwa ni kuja kufanya maisha pamoja, nikimaanisha kuoana, hivyo basi...
Mida yote ni kupigwa mizinga tu;nikitafakari matumizi ya mwezi mmoja najikuta hakuna la maana nililofanya zaidi ya kukaa kati na kugaramia tu.Nikitazama mbele naona mwisho ni mbaya,kutimiza...
Jamani maada hii nimeiona ikizagaa kule FB nikaona niipost huku Kwa Wenye NDOA vurugano .. Kama itakusaidia OK ..
Bihagaze DIAGRAM
* Mume X * *.... *Mke Y
* * * * * * * 1The5:22
*1.)...
Habari wakuu
Kuna huyu binti jirani yangu. Nyumba ya 4 kutoka hapa kwangu ni binti mdogo wa kidato cha 5 katika shule moja hapa mjini.
Nimehamia hapa mtaani mwezi machi mwaka huu. Basi wife ndo...
Habari wana JF,
Kuna kasumba moja kwenye mahusiano ya Mama mwenye mtoto na Boyfriend wake. Mara nyingi boyfriend/bwana wake huwa hajali yule mtoto, huwa busy na kumhudumia mpenzi wake tu.
Kwa...
Nipo inbox now Natongoza single mother flani hivi aliyejipitisha jana jioni kwenye banda langu la kiepe,
Siyo haba ni mzuri makinikia yapo ya kutosha ndio maana mr Zero nimejitosa kuomba ata...
Oya wana, mkiwa tayari kuingia kwenye Mapenzi au (Ndoa) Hakikisha unaepuka kiaina Masingo Maza.
Acheni Masingo maza waolewe na masingo faza wenzao.
Kuna sababu kadhaa ambazo nimekuja kugundua...
Mkiwa mnaishi wenyewe bado kupata watoto, ndani ya mjengo mkubwa ni raha sana. Alafu uwe na mzigo wa maana, unaweza kuiona dunia yote ni ya kwako. Tunasema hapo maisha ni full shangwe, hakuna...
Nakumbuka wakati nimetoka kwenye mishe zangu ikiwa ni saa 7 kasoro mida ya usiku Sana siku ya jumamosi nikakutana na wadada wawili warembo stand wakisubili gari pamoja na me.Tumekaa kidogo...
Raha ya JF ni kusema unachokiwaza, ulichokipitia au kureferesh mind bila kuogopa kwa Sababu hatujuani. Mimi mpaka Sasa nina 27 yrs lakini nimekuwa kwenye mahusino na wanawake/wasichana watano tu...
Wakuu, kuna msichana mmoja niliachana naye baada ya kugundua kuna vitu anavyo ambavyo ni vikwazo kwangu hivyo nisingeweza kuwa na malengo nae ya mbali, hivyo nikamuacha kibaharia bila ugomvi wala...
Jamani natumaini wazima wote,
Ushauri wenu ni muhimu sana nikijumlisha na mawazo yangu.
Nimekuwa mtu ambaye nashindwa kumpenda mwanaume muda wote nimekuwa nampenda mda mfupi tu alafu nakuwa bize...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.