Wanaume, ukioa mwanamke kwa sababu ya uzuri utajuta

Pablo Blanco

JF-Expert Member
Dec 20, 2016
7,328
6,591
Ukioa mwanamke kwasababu tu ana sura nzuri, anavutia, ana shape, ana wowowo kubwa utajuta, tena utajuta baada ya miaka mitatu tu. Adui number moja wa mwanamke ni muda tu, nadhani tumeelewana.

Mliooa mi nawashangaa sana, mnatuponda sana sisi wakina Pablo ambao hatujaoa wakati nyie mmeoa na mna michepuko Kama kawa, sasa si yaleyale tu...Ova!!! Povu ruksa

Reference: Angalia ndoa yeyote baada ya miaka kumi then linganisha appearance ya mume na mke.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukioa mwanamke kwasababu tu Ana sura nzuri,anavutia,Ana shape,Ana wowowo kubwa,utajuta,Tena utajuta baada ya miaka mitatu tu...adui number moja wa mwanamke Ni muda tu... nadhani tumeelewana

Mliooa mi nawashangaa Sana, mnatuponda Sana sisi wakina Pablo ambao hatujaoa wakati nyie mmeoa na mna michepuko Kama kawa,Sasa si yaleyale tu...Ova!!! Povu ruksa

Ni kweli mkuu mwanamke jeuri yake ni kati ya 22-35 basi.
 
Ukioa mwanamke kwasababu tu Ana sura nzuri,anavutia,Ana shape,Ana wowowo kubwa,utajuta,Tena utajuta baada ya miaka mitatu tu...adui number moja wa mwanamke Ni muda tu... nadhani tumeelewana

Mliooa mi nawashangaa Sana, mnatuponda Sana sisi wakina Pablo ambao hatujaoa wakati nyie mmeoa na mna michepuko Kama kawa,Sasa si yaleyale tu...Ova!!! Povu ruksa

Reference: Angalia ndoa yeyote baada ya miaka kumi then linganisha appearance ya mume na mke.

Sent using Jamii Forums mobile app
Una akili sana wewe!!!

Umeyajuaje hayo nawe hujawahi kuoa?

Kuna Rais fulani msitaafu aliwahi kusema , kuoa mwanamke mzuri ni sawa sawa na kulima shamba la miwa jirani na shule ya msingi.
 
Ukioa mwanamke kwasababu tu Ana sura nzuri,anavutia,Ana shape,Ana wowowo kubwa,utajuta,
Sikubaliani na ww. Ili usichepuke baada y kuoa, chukua kifaa kikali chenye sifa zote. Ukioa shapeless, sura-less na colourless utajuta.

Reference: Angalia ndoa yeyote baada ya miaka kumi then linganisha appearance ya mume na mke.
Kuepuka haya oa mwanamke unaye mzidi umri miaka 20+
 
Back
Top Bottom