Yudatade Edesi Shayo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 2,903
- 4,357
Kipindi fulani wakati na date na namba D niliwahi kupata mkasa mmoja uliniacha na maswali mengi kuliko majibu ilikuwa hivi
Nilikuwa na date na dada mmoja wa kichaga kama tujuavyo kuna siku una amka tee kabisa haikuwa kawaida yangu na siku wahi hata siku moja kufanya nilichofanya, nilinyanyua simu na ku mpigia my ex. i was you know baby niazime buku ten hapo nitakurudishia, kweli alifanya hivyo..sasa basi
Zikapita kama 3 days nikabutua kapesa kadogo tu kama laki 4 ,nikaona siyo kesi bila hata kuombwa wala nini nika mthibitishia baby wangu laki kama suprise hivi alifurahi sana bus mengi mengi kama kawaida yao
Eeeh 2days later tena asubuhi mishale ya saa moja simu hiyo kucheki mtoto anapiga ,straight unajua nini prince naomba ile buku ten mwenye nayo anahihitaji aise... Doh nilishiwa pozi.
Nikawaza sana yani huyu mpenzi wangu alishindwa kweli kujiongeza hata kunilipia hiyo buku ten kama kweli alinikopea baada ya kumpa kilo nzima? niliona kabisa huyu mwanamke ni nungunungu siyo hanifai kabisa ..na jinsi ndio zetu za ni kama benzi ukishanunua ndio huuzi tena nilipiga chini faster instantly!!!
Sent using Jamii Forums mobile app