Hawa ndiyo viumbe aina nne hatari zaidi duniani

Baba rai

JF-Expert Member
Jun 14, 2016
228
500
dadb8df87b37ab05d3034a5a92d9874f.jpg

Kwa hisani ya watu wa mitandaoni na si kauli yangu, sijui waliona nini mbwa hawa mpaka wakaandaa list hii!
 

Sent Kb

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
4,673
2,000
Huyo namba 4 unamsingizia.. Ukiijua akili yake hakupi madhara..!!
 

Zanika

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
1,308
2,000
Tamaa zetu ndio zinatuponza na kufanya ujute. Mwanamke km tulivyo sisi wanaume ana moyo wa kupenda na kuchukia, na tabia zetu zinaendana na Makuzi ukijumlisha na mapito uliyopitia. Lakini ukiwajua thamani yao na kuwaheshimu hutolia nao.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom