Unahisi liko romantic? Yani kuna raha unahisi au kawaida tu
Aisee mimi hata kwenye... Nikiitwa mama, naona furaha zaidiSiyo romantic, but inaleta hisia za ukuu, heshima.
Romantic, ni majina mengine na vitendo vingine vya kimapenzi kama kushikana na kuangaliana kimahaba.
Ila jina baba linanipa hamasa na nguvu kwamba Mimi ni Mkuu
Kwa lugha nyingne ni kua, unakua na ka-ufalme kako ghetoni na mke tu, ila huku uraiani, ubaba haupo!!Siyo romantic, but inaleta hisia za ukuu, heshima.
Romantic, ni majina mengine na vitendo vingine vya kimapenzi kama kushikana na kuangaliana kimahaba.
Ila jina baba linanipa hamasa na nguvu kwamba Mimi ni Mkuu
[emoji12] [emoji12] [emoji12]Sometimes it's sexy ingawa sio kila siku...
Tusiitane kila siku mi sio baba ako [emoji23][emoji23][emoji23]
Ahaa.Hilo pia zuri,,