Dah Single Mother Watamu Sana

Dah Single Mother Watamu Sana

Tuwape heshima yao bas jaman kwan wao kuwa single mother its a crime?

Sema ww mkaka...kuna jibwa moja juzi limewatombokea balaa...!huyu hajakutana na masingo mazaz wanaojitegemea kwa kila kitu...utawatamani ww ambaye unajiashua una ndoa!wanaishigi to the fullest..msaidie single maza ajitegemee basi..
 
Surely aisee yaan wanafanya utasema wanatokea dunia tofaut na yetu vile.
They are independent Woman na wana maisha yao as long as analea mtoto mwenyewe huyo ni wa maana kuliko Mwanaume aliemkimbia.
Frankly speaking most of them wako na matured mind sana.
 
Binafsi huwa nawaelewa wanapitia yapi..kwa hyo hali lazima umature automatic...!alafu humu wakak wengi kwenye comment zao wanasema kns mama amenilea...lakini huyo huyo tena anakuja shoboka oh single maza
 
Anasahau kwamba hyo huyo single mother amemlea kamlipia school feees kampa mahitaj yote mpka to become the Man he is today....
Akiulizwa kitu utasikia am proud of my Mother halaf yet anakuja kusema mbovu juu ya single mother wengne, Shubaaaamit zao.
 
shubaamit sana tu...!nnachowashauri single mamaz wajitahid kutuliza akili..ukitulia akili mbn maisha easy tu...ila sio uzalishwe wee
 
Ni kwel kabisa aisee hatakiw kukurupuka na maisha na alee mtoto kutokana na kipato chake, asiishi kwa ajili ya revange ya baba mtoto aliemkimbia
She will liv happily ever after na Mwanae.
 
Back
Top Bottom