Habari za wakati huu wadau wa jukwaa la MMU? Naenda moja kwa moja kwenye lenho kuu la uzi huu.
Kuna mwanamke npo naye kwenye mahusiano mwaka wa tatu sasa, tangu nimekuwa naye mambo yangu mengi...
In short kwangu imekuwa sio kitu kipya kuona mwanamke mwenye miaka 50 kuniseduce na sijajua ninakosea wapi mpaka inakuwa hivyo.
Mimi ni kijana mwenye 30's ninashangaa sana kuona wanawake wenye...
Katika mapenzi siku zote kuna huwa unafikia unaona kabisa mapenzi yamekwisha kabisaa
Hebu Fikiria inafika hatua mpenzi wako
1. Hakupigi simu mpaka umpigie na hata akikupigia anakusalimia tuu...
Habari wakuu ushauri, mke wangu amekua akiwatangazia wazazi wangu ubaya na ufitini kwa wazazi wake hasa mama yake pindi anapokua anarekebishwa na kushauriwa na wazazi wangu anapokua hayuko sawa...
Habari wana JF!Sote tunatambua fika kuwa marafiki ni sehemu ya maisha yetu. Wengi wao tunakutana nao katika maisha ya shule hasa au kazini.
Ila nina uhakika leo hii hata marafiki zetu tuliokuwa...
Weekend oyeee (rejea kuku oyeee, jogoo oyee)
Leo nipo kijijini kwetu Garijembe, Mbeya vijijini. Nimekuja huku kumsabahi Bibi yangu na kuadhimisha maadhimisho ya Baridi la Taifa yanayofanyika...
Nipo kwenye mahusiano ambayo simpendi mtu niliyekuwa naye kwa matakwa yangu binafsi na wasiwasi kumuacha huenda nikakosa mwanaume wakunioa uko mbeleni.
Kiukweli kila akinitamkia kunioa sijisikii...
Wanawake hawapendi kuchosha ubongo wao kwa kujisomea au kujiombea au kufanya mambo binafsi, ndio maana kila kanisa zuri yupo, kila nabii mzuri yupo, kila maombi anataka aombewe yeye.
Ukiwa...
Habari za kazi Wana JF,
Naomba kuuliza. Nasikiaga wanaume wengi mkisema mke anauma sana, naomba kujua kivipi.
Kwa mfano:
Utakuta mtu anagombana sana na mke wake na kuonyesha kutokumjali kabisa...
Saikolojia inaonesha kuwa mwanamke huvutiwa na mwanaume katika mgawanyo ufuatao. Hapa imegawanywa kiasilimia.
Mwanamke huvutiwa na muonekano wa mwanaume kwa asilimia 55% jinsi anavyoongea...
Natumai hamjambo wanabodi.
Wakuu kuna hii dhana imejengeka katika jamii kuwa wanawake wanaovaa nguo fupi ni malaya na huyatumia mavazi hayo kama kivutio na mtego kwa wanaume.
Binafsi nadhani hii...
Yeye ni mzuri tu anashepu wenyewe wanaita utamu kunoga! Guu nikisema la bia nitakuwa simtendei haki, mtoto anaguu la whisky.
Shingo ndo tusiseme wanaita shingo la mnazi! Kwenye chuchu naomba...
Wakuu ni ukweli usiopingika kua ngono kwa sasa imepungua kidogo mvuto ajili ya urahisi wa upatikanaji wake, zamani ule ugum wa upatikanaji wake ulilifanya tendo la ngono kua la pekee sana na hata...
Habari wakuu! Nimetafakari sana kabla ya kudondosha thread hii.
Huwa ukiwauliza watu walioko kwenye mahusiano Wanaume watakwambia mimi tulisoma chuo pamoja nikatokea kumpenda nikamtongoza...
Urafiki wowote lazima uwe na faida au tija, hakuna urafiki mzuri kama wa kupeana fursa, kusaidiana penye changamoto n.k marafiki wa stori stori au maneno maneno sio wa kuaminika, ndio waliowengi...
Ancestors are your parents of your parents grand grand parents they want good for you. They are like your guardian angels who have your best interests at heart. They play an important role in your...
Mwanamke ana uwezo, nyumba usafiri na miradi inayomwingizia kipato, kwakuwa hajapata mume na umri ndio huo unaenda kwa kasi anaamua kuzaa tu bila kuolewa,na huyo mwanaume aliyezaa naye kipato...
Habari za usiku JF.
Mimi nimekuwa kwenye mahusiano na binti miaka mitatu sasa. Tumeamua kwa dhati tuoane, wazazi wake hawataki. Wamefikia kunitishia maisha. Ukweli ni kuwa nampenda sana, nae...
Nilipotoka chuo 2008 nilipata kazi yenye mshahara mdogo usioweza kufika hata tarehe 15, nikaona nitafute shughuli jioni baada ya kazi kuongeza kipato.
Mtaani kulikua na msichana mmoja Mshikaji...
Kumekuwa na mitazamo kadhaa wa kadhaa kwa sasa katika jamii kuhusu mahusiano na wengi wamekuwa wakisema pesa Ina nguvu Sana katika mapenzi.
Wengi wanaamini kuwa pasipo kuwa na Pesa kwa sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.