Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Rejea zako tu Kichwa cha Habari hapo juu kisha anza 'Kutiririka' na 'Kuserereka' zako. Nitashangaa sana nikiona kuna Mwanaume mwenzangu wa Kiafrika atasema kuwa Yeye Mkewe/Mpenzi wake...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Jana nimechupuka ili kumkomoa mwanaume niliyenae kwasababu nilijinga halijui chochote,lipo lipo tu zoba halijua mwanamke anataka nini. Nimechepuka na nitaendelea kuchepuka na kucheza na hisia...
29 Reactions
510 Replies
49K Views
Wasalaam jf, Nina mahusiano na mkaka huyu ambaye tunapendana sana na Mungu akipenda tunatarajia kuoana kabla ya mwezi wa saba Toka tumeanza mahusiano hatukuwahi kufanya mapenzi na yeye ndie...
7 Reactions
76 Replies
9K Views
I'm Zagarino Natafuta friend wa Ku chat nae coz sms za Voda kila siku nimezichoka.. Mara umeishiwa salio..Dahh. Sina vigezo vingi mi sio mwanasheria age 19-24 Marital status no comment... Let...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Huyu dada nlikutana naye dar mwaka huo wa tukio ikiwa ni jioni nmeenda sehemu nipate chakula cha jioni.alikuwa amekaa peke yake na mbele yake kuna sahani ya kuku mzima na chips huku ana box la...
23 Reactions
109 Replies
13K Views
Amani iwe nanyi wakuu. Juzi kipindi natoka kazini mida ya saa nne usiku, nilivyofika maeneo ya majumba sita, wanaokaa Ukonga wanapafahamu hapo. Nikakutana na dada mmoja muda huo natafuta sehemu...
6 Reactions
7 Replies
906 Views
Mapenzi yana mambo mengi.Vijana wa leo wenyewe wanakwambia "mapenzi pesa" Tena wanakwambia ukimpenda mtu mwambie haraka wanatumia neno mtongoze acha ushamba. Ila inaonekana kadri unavyoficha...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Wakuu nipo njia panda hapa, shemeji yenu ana tatizo moja sijui ni tatizo sijui ni kitu gani, yaani katika swala la tendo la ndoa hana muda kabisa yani Tunaweza kulala mpaka asubuhi hajanigusa...
4 Reactions
61 Replies
6K Views
kama umekuja tuu jf kuropoka unachojisikia, na huna interest na PM za madada wa humu kama mimi, basi ukijiunga JF unaweza ukajibatiza jina lolote, hata la kikatuni kama langu... lakini kama...
25 Reactions
145 Replies
11K Views
Yaani wanaume sijui kwanini mnakuwa hamridhiki? Yaani utakuta una msichana mzuri kwa umbo, sura, hata tabia ila kwanini bado unakuta ukiona mwingine unatamani? Mpewe nini? Hebu leo mtujuze.
7 Reactions
135 Replies
12K Views
Mi sielewi kabisa mkiwa kwenye miaka ya kumi na mpaka 20 na.. mnakuwa mnatukimbiza kwelikweli mpaka mioyo inatoka jasho!. Sasa shughuli mfikie 30's!!😜😂 Hapo wengine ndo wanakuwa michelini Mara...
3 Reactions
25 Replies
4K Views
Amani iwe nanyi. Nimedumu kwenye mahusiano yapata miaka 3 na miezi 6, sijawahi kutoka nje ya mahusiano na sikuwahi kushiriki tendo la ndoa ndani ya muda huo wote. Nikiwa bize na mambo yangu ya...
7 Reactions
100 Replies
8K Views
Imebainika kuwa asilimia kubwa za wanaume ukifuatilia kwa ukaribu majina ya watoto wao wa kwanza au wa tatu waliozaa kwenye ndoa ,majina ya kike walio wapa watoto wao ni majina ya wanawake ambao...
1 Reactions
35 Replies
5K Views
Be warned Marriage is meant to be a lifetime affair and is definitely not meant for everyone. But if marriage is your thing, you got to be careful when choosing your life partner. You do not...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Miezi kadhaa iliyopita kabla ya Corona mkeo alienda Nairobi kuchukua mzigo kwa ajili ya biashara zake. Alitakiwa akae siku tatu. Lakini akakaa wiki mbili akisema anakusanya mzigo na maelezo mengi...
5 Reactions
10 Replies
1K Views
Wanawake wamekuwa wakihusishwa na pesa duniani kwa mitazamo tofauti mingine hasi na mingine Chanya. Ni wazi kuwa bila wanawake Kuwepo Pesa isingekuwa na maana yeyote duniani. Hata hivyo...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Aisee nimeamini kuwa 'Samaki mkunje angali mbichi' Tabia hii niliichukulia kawaida hapo awali Ila sasa nimeichoka. Nikirudi tu toka kazini atakimbilia simu na: 1. Kuangalia sms (kisha atazifuta)...
3 Reactions
84 Replies
10K Views
Mwanaume anapendewa pesa au uwezo wake wa kubeba majukumu. Je, mwanamke anapendewa nini? Kwanini na yeye asipendewe pesa? Kwani kwenye mahusiano anayenufaika/kufaidi zaidi ni mwanaume? Naombeni...
3 Reactions
37 Replies
2K Views
Siku unayogombana na mpenzi wako au kutokuwa na maelewano na mpenzi wako hadi kupelekea kununiana na kutokuwa na mawasiliano ya hapa na pale ndio siku unayompa uhuru mpenzi wako kuchepuka. Hii ni...
7 Reactions
20 Replies
4K Views
Kina wapenzi we ng I alba iwekeana ma's hart kasha was kadha Ikiwa mpenzi wako anavaaa mavazi yasiyo mpendeza Mungu, yanayochora maumbile yake ni sahihi kumwambia afute picha alizopiga akiwa na...
1 Reactions
25 Replies
5K Views
Back
Top Bottom