Wanakera sana
Mtu kaolewa ila havai pete unakutana naye uko unatongoza unajua umepata wakutulia naye au wamaisha kumbe mtuu wa mtu badaa ya week anakuambia mke wa mtu au mume anamtesa au mume...
Wabobezi wa jukwaa hili naombeni mtoe maoni yenu hapa. Nina Mahusiano na wadada 2 wenye sifa tofauti.
1. Wa Kwanza ni mdada amebarikiwa shepu, sura ya kuvutia na mautundu ya kutosha kwenye 6 kwa...
Hivi kwa nini wanawake wazuri asilimia kubwa huwa hawanaga akili hasa akili za kimaisha. Unakuta kabinti ni mashalah kameumbika kila sector lakini kichwani ni empty .
Huwa wanatuweka kwenye...
Habari wana JF. Najua ni ngumu kukubaliana na maneno yangu lla ndivyo ilivyo. Kuna muda unakuwa na hisia za kimapenzi kwa rafikiyo mpaka unatamani bora msingekuwa marafiki?
Kuna wakati penzi...
Ilinichukua muda sana kujiunga JF kabla ya hapo nlikuwa ndugu msomaji.kuna watu walinivutia sana humu ndani kama General Galadudu (mungu amweke mahali pema huko aliko) na GuDume kwa mbegu.
Nina...
Mapenzi/Mahusiano ni kama chuo/darasa, unapata mengi ya kujifunza toka
kwa mwenzako uliyenaye kwenye huo uhusiano. Mnaweza achana kwa makubaliano mazuri au kwa vurugu na dharau pamoja na kejeli...
Habari za jioni?
Mpaka nafika hapa wadau mjue nimekwama. Naombeni ushauri juu ya haya mahusiano. Kiukweli nilikuwa nashangaa nikisikia kuwa mpaka watu wanafikia kufunga ndoa, wamepitia mambo...
Ukiingia insta unakutana kibao, Snapchat wapo, kwenye Dating Apps huko ndo balaa, JF mama na FB ndo usiseme
Nimegundua hata wale maslay queen "wabinua viuno" ni memba wazuri wa kundi hili.
Hii...
Habari za asubuhi wakuu, kuna dada nipo naye kwenye group moja la whatsapp la mambo ya dini nimekuwa nikichart nae sana mpaka usiku wa manane nilimuomba awe rafiki yangu akakubali bt lengo langu...
Nimeikuta hii kwenye The Hill of Wealth. Nimeipenda and would like to share with you ! anasema;
Uwezo wa kumwamini (trust) na kujisikia salama na kutulia kati ya wanandoa ni moja ya misingi ya...
Wana JF, hebu nisaidieni. Kwa nini wanawake wengi huwa tunakawaida ya kuwanunia/kuwasusia wanaume/marafiki zetu? au ndio dalili ya mapenzi? Hii hata kwenye cinema utaiona sana, mwanamke...
Sitaki kupoteza muda maana kichwa cha habari kinajidhihirisha.
Natafuta mwanamke wa kuoa ila awe na hela. Najua wapo wa kunipinga na wengine wapo wa kunishauri kuwa eti "nitafute pesa ili nipate...
Naomba niwape angalizo kidogo baada ya kuona thread mbili tatu za kuhusu maambukizi ya ukimwi na waathirika kwa ujumla.
Nimeona baadhi wakitoa kauli za unyanyapaa ambazo kimsingi hazitujengi zaidi...
Nakumbuka kipindi nasoma O-Level nilipataga rafiki (ke) mwenzangu kwao walikuwa maisha mazuri kidogo kipindi icho Baba ake anafanya kazi nje ya nchi kwa iyo akawa anaishi huko na mama ake rafki...
Ilikuwa ni mwaka2017 nilipomkuta huyu mtoto katika stationary moja pale dar nikihitaji mahitaji fulani. Mtoto nikamwelewa sana but akadai ana mtu wake licha ya kumfukuzia sana basi nikaona isiwe...
Habari za siku ya leo.
Leo nataka niwaambie jambo moja wanaume wenzangu. Hata hivyo mada ni huru na yeyote anaruhusiwa kuchangia.
"ukiona mwanamke amekukubali ujue yeye mwenyewe tu amekutamani...
Habari zenu wanajamvi. Mimi ni kijana na ninajifunza kila siku na moja kati ya jambo nililojifunza ni kwamba hisia ya majuto ni mbaya sana kuliko hata wivu ama hasira maana majuto huwezi...
Nimeamua kuja na id mpya ili kulinda heshima yangu,
Nianzie hapa miaka miwili iliyopita nilipata mpenzi binti fulani asiye na makuu mwenye aibu na staha zake, Mwanaume nikajiweka jumla maana...