Ndo ivo tena
2020 inafika kikomo. Kama ulipanga ukatimiza hongera sana mshkuru Mungu wako (kama unaamini) lakini pia huenda kuna ambayo ulipenda yatimie na hukufanikiwa unajikuta unaingia nayo...
Tumedumu na mke wangu kwenye ndoa kwa muda wa miaka sita, tunawatoto wawili. Sasa imekuwa tukikorofishana na mke wangu kisasi analipiza kwa watoto tulio wazaa mimi na yeye kwakuwapiga, hivi ni sahihi?
Natumai hamjambo wanajamvi
Leo nitashare kisa changu cha kumkataa mtoto kilichopelekea kukosa mtoto kwa miaka 6 nikiwa ndoani
Ipo hivi, wakati naelekea kuoa nilikua nadate na mdada mmoja ambaye...
Alishapata scandle kwa wanae kuwa akiwa nje ya nchi huwa ninamtafunia mkewe akanipigia simu coz alikuwa swaiba yangu sana baadae mkewe akanipa mtihani mkubwa sana coz alikuwa anatembelea ofisini...
Ni mwanamke mcha Mungu mcheshi ana akili ananiheshimu na kunipenda pia anawapenda sana ndugu zangu nimemuumiza kihisia Mara kadhaa lakini bado upendo wake kwangu unazid kuchanua.
Hana mwonekano...
Wakuu Salaam,
Anafikia hatua ya kukutambulisha kwao, umepeleke wazazi wako ajili ya kuzungumza mahari bt kumbe nyuma ya pazia kwenye sim yake kakusave "kaka" alafu kuna boya jingine ambalo yeye...
nisaidieni jamani...napata majibu yanayonichanganya... kina kaka na hata kina dada hebu niambieni..mwanaume anapotongozwa na mwanamke anajisikiaje??? ni nini mawazo yake??? Je, unamchukuliaje...
Niaje niaje.
Moja Kwa moja kwenye mada, niliwahi kuwa na demu mmoja mkali sana, yaani yule manzi alikuwa ni mkali sana katika wanawake niliowahi kuwa nao wote yule demu bado ni namba mmoja .ila...
Ili mfurahie busu mnatakiwa kupeana (umbusu-akubusu) hivyo ni jambo muhimu la kuzingatia ni kuto achama au kukusanya midomo yako kama unataka kubusu kwa sauti (kama zile busu za sauti za vijana...
Ndugu zangu, unapooa bikra, inamaana unakata utepe, unafungua sild, Wasichana wa kaliba hii wanaofunguliwa sild ni wazuri sana maana wao hawajawahi kufanya hicho kitendo, kwahiyo ni rahisi...
Bado hujapewa jibu la kukubaliwa lakini umekwisha pigwa vizinga vya kutosha.
Huu mchezo wa kusema acha nikubali kutoa ili kutengeneza mazingira mazuri nadhani si uamuzi mzuri. Kwani pia ndio...
Wakuu msaada wa kimawazo, kimsingi nilishawahi kuoa huko siku za nyumba ndoa ya kikatoliki, ila haikudumu kwa muda mrefu tukatengana kidini na kimahakama na ndoa ikaishia hapo ila tulibshatika...
Huyu msichana nilisoma nae 'A' level katika shule fulani hapa Dar es salaam. Darasani kwetu hakuna ambae hakumjua maana alikuwa msichana mwenye sura nzuri sana tena kuliko wote darasani. Ila...
Asilimia kubwa ya wanaume waliofanikiwa kumiliki chumba na sebule wengi wao wanaishi na mwanamke ndani either ni mpenzi, mchumba au kimada.
Naona kwa kak zangu na marafiki pia wote wana ishi na...
Mwenzenu yamenikuta na kusema za ukweli nashindwa kabisa kuelewa namna ya kutoka hapa na kusonga mbele.
Ni mume nilompenda sana sana sana. Mungu katujaalia two beautifull kids na mengine ambayo...
Kwa kweli dunia ina mambo ya ajabu sana. Exboyfriend wangu ni Mchaga wa milimani. Tumedumu naye katika mahusiano kwa miaka zaidi ya mitano. Lakini katika muda huo kumekuwa na ups and down nyingi...
I Want To Get Married To A Very Poor Man!
Now we truly understand why our forefathers when it comes to a hand in marriage they're going for girls in the villages, because they still possess some...
Baada ya safari ndefu kati ya Mimi na yeye leo ndo nimegundua mpenzi wangu ameshaniacha japo hajanitakia baada ya kugundua viashiria vifuatavyo:
1. Ameshanitamkia live kuwa upendo wangu kwake...
Wera wera wana MMU
Kwenye pilika pilika zangu nikakutana na binti ya kiarabu. Sio wale machotara hapana huyu ni mwarab og kabisa. Nikatupia ndoano mtoto wa kike akaingia kwenye 18 za mkemia...
Leo nimeamua kufungua huu uzi ambao unaweza kuwa faraja sana kwa wanawake wenye figa za wastani, katika kipindi hiki cha sikukuu nilifanikiwa kutinga viwanja kadhaa vya starehe nilianzia pale TNT...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.