Hawa ndio wanaume wanaongoza kuishi na wanawake ndani

BROKE BOYS

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
13,218
39,047
Asilimia kubwa ya wanaume waliofanikiwa kumiliki chumba na sebule wengi wao wanaishi na mwanamke ndani either ni mpenzi, mchumba au kimada.

Naona kwa kak zangu na marafiki pia wote wana ishi na wanawake ndani.

Nikabaini kwamba mwanaume anaeweza kupanga chumba na sebule na jiko kabisa anauwezo wa kifedha hivyo wanawake wengi wanakua wanatamani kuwa naye, na wanakua wanajipeleka peleka na hata kuzaa nao kwa kutegesha.

kuna mtu anapingana na hii research??
 
Asilimia kubwa ya wanaume waliofanikiwa kumiliki chumba na sebule wengi wao wanaishi na mwanamke ndani either ni mpenzi, mchumba au kimada. Naona kwa kak zangu na marafiki pia wote wana ishi na wanawake ndani.

Nikabaini kwamba mwanaume anaeweza kupanga chumba na sebule na jiko kabisa anauwezo wa kifedha hivyo wanawake wengi wanakua wanatamani kuwa naye, na wanakua wanajipeleka peleka na hata kuzaa nao kwa kutegesha.

kuna mtu anapingana na hii research??
Na hii unaiita research? Acha kuilinganisha research na vitu vya hovyo hovyo!??
 
Back
Top Bottom