Nini unakusudia kufanya na kuacha kwa mwaka 2021 kama ukiwa hai?

mzee wa kasumba

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
1,432
2,892
Ndo ivo tena

2020 inafika kikomo. Kama ulipanga ukatimiza hongera sana mshkuru Mungu wako (kama unaamini) lakini pia huenda kuna ambayo ulipenda yatimie na hukufanikiwa unajikuta unaingia nayo 2021

Binafsi
Nimekusudia kama ntakuwa hai mwaka huu ujao basi nipunguze kasi ya kufanya mapenzi (zinaa). Hii ni sambamba na kuwaacha mademu zangu wote ambao wamekuwa mstari wa mbele katika kunipiga MIZINGA YA MASAFA MAREFU

Lakini pia nimejifunza matumizi sahihi ya fedha na kujiwekea zaidi akiba. Jambo ambalo litaliwekea mkazo sana mwaka ujao (kama nitakuwepo)

Bila kusahau mwaka ujao nimeazimia kufika DAR kwa mara ya kwanza. Wakazi wa dar mnipokee jamani mimi kijana wenu kutoka MKOANI.

Asanteni sana.

Nini unakusudia kufanya/kuacha kwa mwaka ujao kama utakuwa hai?
 
"Ningependa" ku-join bone marrow registry.Nina imani nitaokoa maisha ya mtu.

Ila nina hofu, natamani nikutane na mtu ambaye anafanya/alishafanya anipe experience yake.
Kama kuna mtu ame-donate au ni mtaalamu ningefurahi kusikia kutoka kwake.
 
Ni yapi matumizi ya bone marrow? Nafahamu 1. Utumika kupandikizwa kwa wagonjwa wa selimundu.... As long as umedhamiria hilo nakuombea upate mwongozo mzuri na Mungu akupe wepesi hofu isikuzidi sana.

Barikiwa Madam....
 
Mungu Anisaidie niweze kuishi na watu baki ambao sio ndugu. Coz ndugu wamechangia Sana kurudisha maendeleo yangu nyuma. Mwaka ujao sitaki kabisa kuishi na ndugu au kuwa na uhusiano wa KARIBU sababu natumia pesa na muda mwingi kuwasaidia ndugu halafu hawana Shukran shenz kabisa.
 
Asante sana Depal.
Ni kitu ambacho nimedhamiria kabisa japo hofu haikwepeki, mimi ni mwoga sana wa maumivu hasa kama yatakuwa endelevu.

Asante kwa kunitia moyo, ambao ndio kitu ninachokihitaji kwa sasa, you see? Nipate watu wa kuniambia "Paula unaweza kufanya hivi" au hata mimi nilifanya au ninamjua aliyefanya.
 
Mungu Anisaidie niweze kuishi na watu baki ambao sio ndugu. Coz ndugu wamechangia Sana kurudisha maendeleo yangu nyuma. Mwaka ujao sitaki kabisa kuishi na ndugu au kuwa na uhusiano wa KARIBU sababu natumia pesa na muda mwingi kuwasaidia ndugu halafu hawana Shukran shenz kabisa.
Daaah ndugu lawama aisee
 
Leo nilikua shamba. Tumeua nyoka wawili sijawahi kushika nyoka kabla they are so soft. Yaani soft mno zaidi ya kila nilichowahi kushika na nikasema ni soft.

Hii imefanya niwawazie wazee wangu wanavyorisk kulima maeneo haya, mpango wangu kwa 2021 ni kuacha deals ninazofanya nitafute stable source of income wazee wapumzike nyumbani wawe wanalimiwa.

Hili Mungu alisimamie.
 
Nami nakuombea mkuu
 
Wazee wako wanaweza kufa wakiacha kulima, unaweza kudhani unawasaidia kumbe wenzako ndo mazoezi tiba kwa afya zao.

Jiridhishe kwanza!
 
Back
Top Bottom