Vizinga wakati wa kutongoza

Vizinga wakati wa kutongoza

Surya

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
10,002
Reaction score
16,240
Bado hujapewa jibu la kukubaliwa lakini umekwisha pigwa vizinga vya kutosha.

Huu mchezo wa kusema acha nikubali kutoa ili kutengeneza mazingira mazuri nadhani si uamuzi mzuri. Kwani pia ndio imekua mbinu ya wasichana wengi na wengine wamefikia hatua anakukubalia kuwa wapenzi lakini utapigwa vizinga kabla ya kupewa mzigo hadi mahusiano yanakufa kabla hujaambulia hata busu.

Tuelezane yanayotokea one day after kutongoza pisi kama pisi. Ladies huwa mnafikiria tukio gani kufata baada ya kutongozwa na handsome flani au ndo halipo la kusema itoshe kusema hisia zenu zipo kwenye pesa, shida mnakulaga na hizo pesa then mnatokomea mitini.

Note: But some girls wako smart sana unampeleka shopping then usiku mnakwenda kulala wote vizuri kabisa na kwa mahaba yote.
 
Afande ukiona unazidiwa bora ukimbie in Tibaigana's voice
 
Huo ni mkoa gani mkubwa?
Anyway huku kanda maalum hakuna wanawake wa dizaini hiyo
 
Bado hujapewa jibu la kukubaliwa lakini umekwisha pigwa vizinga vya kutosha.

Huu mchezo wa kusema acha nikubali kutoa ili kutengeneza mazingira mazuri nadhani si uamuzi mzuri. Kwani pia ndio imekua mbinu ya wasichana wengi na wengine wamefikia hatua anakukubalia kuwa wapenzi lakini utapigwa vizinga kabla ya kupewa mzigo hadi mahusiano yanakufa kabla hujaambulia hata busu.

Tuelezane yanayotokea one day after kutongoza pisi kama pisi. Ladies huwa mnafikiria tukio gani kufata baada ya kutongozwa na handsome flani au ndo halipo la kusema itoshe kusema hisia zenu zipo kwenye pesa, shida mnakulaga na hizo pesa then mnatokomea mitini.

Note: But some girls wako smart sana unampeleka shopping then usiku mnakwenda kulala wote vizuri kabisa na kwa mahaba yote.
vizinga vya siku za mwanzoni usivipe muda sana
 
wa vizinga uwakaushie mkuu hakuna jipya kwao zaidi ya hasara
 
Bado hujapewa jibu la kukubaliwa lakini umekwisha pigwa vizinga vya kutosha.

Huu mchezo wa kusema acha nikubali kutoa ili kutengeneza mazingira mazuri nadhani si uamuzi mzuri. Kwani pia ndio imekua mbinu ya wasichana wengi na wengine wamefikia hatua anakukubalia kuwa wapenzi lakini utapigwa vizinga kabla ya kupewa mzigo hadi mahusiano yanakufa kabla hujaambulia hata busu.

Tuelezane yanayotokea one day after kutongoza pisi kama pisi. Ladies huwa mnafikiria tukio gani kufata baada ya kutongozwa na handsome flani au ndo halipo la kusema itoshe kusema hisia zenu zipo kwenye pesa, shida mnakulaga na hizo pesa then mnatokomea mitini.

Note: But some girls wako smart sana unampeleka shopping then usiku mnakwenda kulala wote vizuri kabisa na kwa mahaba yote.
Mwamba chukua kinywaji nakuja kulipa. Nimepitia hiyo hali, ila hawanisumbui. Mmoja anachenga kutoa jibu Jana kaomba hela kuuliza jibu anasema bado ana nipima. Mwingine ali kubali kuhusu mzigo anasema bado muda. Busu la kwenye simu ata kupa la mubashara hataki. Nilipo tumia mantiki na kuacha kusikiliza hisia nigundua naibiwa.

Sent from my TECNO LA6 using JamiiForums mobile app
 
Mimi nawawekea mazingira madem wenyewe wanaanza kuniita sweety, etc nawala halafu nawakaushia yani wenyewe ndo wanahangaika
 
siku ya kwa nza vizing a kabla ya pants out...kinagonga mwamba
 
Back
Top Bottom