Hatimaye nimeopoa pisi kali ya kiarabu

Hatimaye nimeopoa pisi kali ya kiarabu

toplemon

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Posts
4,607
Reaction score
4,769
Wera wera wana MMU

Kwenye pilika pilika zangu nikakutana na binti ya kiarabu. Sio wale machotara hapana huyu ni mwarab og kabisa. Nikatupia ndoano mtoto wa kike akaingia kwenye 18 za mkemia


Mwanzo nilikua naona itakua ngumu maana tumeshazoea kudate na machotara na sanasana couple ya muhindi original au mwarab original dhidi ya mwafrika zinakua ni nadra sana

Mwanzo niliona hawana maajabu yoyote ila kumbe wapo[emoji91][emoji91]balaa. Mtoto ndani ya geto na kupika anapika mapishi balaa na anasoma nje ila issue ya corona ndo hivyo tena nipo naye
[emoji1320][emoji1320][emoji1320][emoji1320][emoji1320]
 
Cku hizi mtu ukianzisha uzi tu watu wanarejea kwenye makaburi yaliyojificha[emoji23]. Mkuu me nlikuwa nauliza tu kama lile tatizo lako la hofu na kutetemeka ukiwa na pisi kama limeisha? [emoji23] Samahani lakin! Coz ulituletea uzi hapa kwamba pisi ikikukubalia tu bas unaikinai na vimbwanga kibao [emoji23]. Vp kwa huyo shemeji yetu hali ipoje
 
hongera kwako mkuu nakutakia usimamizi wa pamoja wa kila jambo lenu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom