Hawa ndo wanawake wa zama hizi

yuzazifu

JF-Expert Member
Oct 6, 2018
5,109
9,407
Wakuu Salaam,

Anafikia hatua ya kukutambulisha kwao, umepeleke wazazi wako ajili ya kuzungumza mahari bt kumbe nyuma ya pazia kwenye sim yake kakusave "kaka" alafu kuna boya jingine ambalo yeye mwenyewe kashajua halina future nae ndo kalisave "my love" tena kwenye sim ulomnunulia.

haya yamemkuta rafiki yangu na ameapa kamwe hatokuja kuoa japo alikua na shauku kubwa ya kuingia ndoani.
 
Kuna demu simu nilimnunulia Mimi , akaanza kuwasiliana na wanaume wengine na wanatumia simu niliyonunua mimi kutongozana , Niligawa kichapo na kuanza kudai simu yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
Jiulize ni kwanini alikua na wengine japo wewe ulinunua simu, si ajabu walikuwepo kabla yako lakini wewe ulijionyesha kuwa ni Eng. Zezudu pesa kwako siyo shida.
 
Kuna demu simu nilimnunulia Mimi , akaanza kuwasiliana na wanaume wengine na wanatumia simu niliyonunua mimi kutongozana , Niligawa kichapo na kuanza kudai simu yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulidhani pesa zitamzuzua, mapenzi si lelemana..unapokelewa jinsi ulivyojipeleka. Ukijipeleka kidangadanga atakuchukulia hivyo hivyo, ukijipeleka ki-husband material na yeye anatulia.
 
Wakuu Salaam,

Anafikia hatua ya kukutambulisha kwao, umepeleke wazazi wako ajili ya kuzungumza mahari bt kumbe nyuma ya pazia kwenye sim yake kakusave "kaka" alafu kuna boya jingine ambalo yeye mwenyewe kashajua halina future nae ndo kalisave "my love" tena kwenye sim ulomnunulia.

haya yamemkuta rafiki yangu na ameapa kamwe hatokuja kuoa japo alikua na shauku kubwa ya kuingia ndoani.
Angalieni sana wanawake mnaotaka kuwaoa. Vijana wa siku hizi vigezo vyenu vya mke bora ni vya ajabu sana. Kijana anaangalia makalio makubwa na sura nzuri kama kigezo cha mke bora. Tena msichana akishakua navyo, basi kijana ndio ataharakisha kabisa kuoa. Haya matatizo mnayataka wenyewe.

Tulieni, mkitulia, wanawake wa kuoa wapo. Kigezo namba 1 kiwe tabia njema.
 
Wakuu Salaam,

Anafikia hatua ya kukutambulisha kwao, umepeleke wazazi wako ajili ya kuzungumza mahari bt kumbe nyuma ya pazia kwenye sim yake kakusave "kaka" alafu kuna boya jingine ambalo yeye mwenyewe kashajua halina future nae ndo kalisave "my love" tena kwenye sim ulomnunulia.

haya yamemkuta rafiki yangu na ameapa kamwe hatokuja kuoa japo alikua na shauku kubwa ya kuingia ndoani.
"Kuwa na future naye" hapa inategemeana na hyo future utakavyoi define mfano yeye labda future yake ni kuzalishwa na kisha kukimbiwa (ndo anavyotaka hivyo) halafu jamaa badaye arudi amdanganye danganye warudiane walee watoto n.k

Halafu jamaa yako analeta pua yake kuja kuoa hauoni atakuwa anakuja kuvueuga future za watu?

Kingine ukute jamaa aliingilia mapenzi ya watu .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom