Breathe. Let go. And remind yourself that this very moment is the only one you know you have for sure.. If you are going through that then i am too.. Just looking for friend wa kubadilishashana...
Yapata mwezi mmoja ( 1 )sasa Tangu nilipoanza kubaini kuwa Tabia ya mke wangu imebadilika " jinsi alivyo hivi sasa sio Yule mke wangu niliyekuwa namfahamu miaka minne (4) iliyopita
Mwanamke...
Habari za wakati huu wapendwa nimatumaini yangu mpo vizuri kabisa na mnaendelea poa na mishe zenu kama kawaida.
Naomba moja kwa moja niende kwenye uzi husika.
Nilikuwa ni mmoja kati ya watu...
Rafiki yangu ni mtoto wa pekee kwa mama yake. Mama yake ni mwenyeji wa Mtwara. Alikua mfanyabiashara na mzigo aliufuata Kariakoo. Katika mahangaiko ya kukusanya mzigo alikutana na...
Kwemaa? Mpenzi wangu anakaribia kujifungua, amebakiza miezi kama 3 tu. Sasa nataka kutoa jina kwa mwanangu ajae, alikuja geto huyu mama juzi juzi tu hapa, kaniambia mume wake alimpa hela ya...
Habari zenu wakuu.
Leo nimemua kuandika kidogo baada ya kukaa muda mrefu bila kuandika humu JF.
Maisha yetu wengi wetu vijana wa kike na wakiume ni ya kawaida kama sio chini. Ila utakuta sisi...
Katika hali ya kutatanisha nilijikuta nimefall in love na mwana JF mwenzangu. Tulianza kimzaha lakini baadae kizaha zaha! Radi HUPIGA mara moja.
Bahati mbaya shetani aliingilia kati na kuzua...
Salute bosses, leo siku naona imeniendea vibaya, nimepigiwa kelele na binti mmoja kuwa nambaka. Huyu binti alikuja eneo nililokuwa nimetulia zangu najinywea bia zangu.
Mara akaanza kuleta mazoea...
Habari zenu wanajamvi
Tushirikishane mada hii nawakaribisha kuchangia kile unachoona ni sawa
Jee wewe kama kijana unatakiwa kuchagua moja kati ya mawili unapotafuta binti wa kumuoa, jee...
Wakuu salaam!
Niende moja kwa moja kwenye mada. Baadhi ya wanawake mkoani mara hujichagulia wanawake warembo na kuwaoa. Mwanamke anayeolewa anatokewa mahali na kila kitu na mwanamke anayemuoa...
Huyu ni rafiki yangu Nimesoma nae chuo, hivi majuzi kaniambia ya kuwa Mchumba wake aliyepo masomoni Chuo fulani Alimwambia Anataka akajitambulishe Ili awe mke wake mtarajiwa Rasmi. Lakini Bidada...
A man went to social media to ask women how they life was as single women. The responses were interesting.
Nomadlozi Ramagoshi responded:
"Very lonely, especially on weekends. Every woma n needs...
Habari wajumbe,
Leo nimemtembelea rafiki angu mmoja mwenye katoto ka kike k umri wa miaka muwili.
Cha ajabu nimekuta amekavalisha shanga kiunoni hako katoto kadogo baada ya kumuuliza akaniambia...
Jaman ndugu wanawake mkituacha jitahidini muende kwa wanaume walio tuzidi upendo,matunzo , na ndoto za kuwa na nyie. Maana mnatia huruma mkikitana na Mambo kinyume.
Naandika hivi baada ya...
Utafiti nilioufanya ni kwamba ukioa mapema ni rahisi kupata msongo wa mawazo, kuuliwa, kurogana n.k. lakini ukichelewa kuoa utaepukana na mambo mengi sana na hii ita kuongezea umri wa kuishi...
Kweeema?
Sijui shida itakuwa nini Mimi siyo tajiri nina maisha yangu ya kawaida but uongo dhambi ninajipenda, nanajua kupendeza ata kama nguo ni ya bei ndogo, ninajua kupangilia, inshort...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.