Dumuzii
JF-Expert Member
- Jan 4, 2019
- 3,601
- 8,710
Jaman ndugu wanawake mkituacha jitahidini muende kwa wanaume walio tuzidi upendo,matunzo , na ndoto za kuwa na nyie. Maana mnatia huruma mkikitana na Mambo kinyume.
Naandika hivi baada ya kukutana na ex Alie wezaga kuingia Hadi ndani ya moyo na akaja kuzima gafla Kama umeme wa tanesko, nilipambana Sana juu yake ,nilipambania Sana lile penzi lisife ,hakuna ambacho sikufanya ili kulinusuru penzi, niliingia Hadi kwa waganga ili ninisuru penzi, mtoto wa kiume nililia, nilikonda niliisha ,nilishindwa kula kisa huyu mtu.
Na pia baada ya mapambano yote kufeli nilikata tamaa, na kuanza kuugulia wakati huo yeye amesha mpata wake tayari full kuichafua mitandao kwa kweli nilikoma haswa.
Lakini Mungu si dula nilianza kupona mdogo mdogo na kuanza kujisha shangaa kwa Nini namtaka yule mwanamke hapo nikaanza kuziona kasoro zake na kumuona mbaya Sasa wakati hapo nyuma sikuona mwanamke mwingine zaidi yake hata pale alipo nitosa sikuona zaidi yake.na huku mademu wengine wakali zaidi yake wakataka kuchukua nafasi yake kupitia huo mwanya lakini nikiwafukuza na kuwakataa Kama mbwa kisa yule manzi.
Baada ya muda kupita nikapona na kuwa mtu mpya furaha ikashamiri hata nikiona picha yake nikawa najisikia kinyaa Basi muda ukapita wataalamu Waka mmimba na kumtelekeza na kufanya achakae na kunikumbuka kwa misamaha lkn kiukweli kutoka moyoni nilimchukia Sana
Sikutaka hata kumuona Ila nilijilazimisha kumsaidia kishingo upande lkn pamoja na misaada yangu inavyo onesha matatizo alio nayo ni makubwa mno cos amekonda Hadi sio poa alijirahisisha nimle ndugu wasomaji hata hisia za kuokoteza sikua nazo.
Japo niliweza kumtoa out kishingo upande cos hua sipendi kuumiza watu na kulipiza visasi visivyo na maana .
I used to know her and I will still know her so I can't deny myself that I don't know her.
Ila mambo ya mapenzi nae Tena ndio Basi atanisamehe cos sioni chochote Cha kuniburudusha kwake zaidi ya kinyaa. Ila sita mtenga cos sijui alivurugwa na Nini maana dunia inamengi.
Ila I hope alifurahi Sana baada ya ile out ...Ila asijipe hope kuwa Kuna zaidi ya pale na akitaka aharibu kabisa asinione ajaribu kujifanya anataka kuni win .
I will fade out na hata niona Tena kwenye lolote.