Matumizi ya shanga kutengeneza shape kiunoni

Matumizi ya shanga kutengeneza shape kiunoni

Step by step

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2014
Posts
1,184
Reaction score
1,315
Habari wajumbe,
Leo nimemtembelea rafiki angu mmoja mwenye katoto ka kike k umri wa miaka muwili.
Cha ajabu nimekuta amekavalisha shanga kiunoni hako katoto kadogo baada ya kumuuliza akaniambia kuwa inasaidia kutengeneza shape.
Sayansi n ufahamu wangu umegoma kabisa kukubaliana na hili.
Je jambo hili lina ukweli huko duniani?
 
Ndio
 
Mafuta ya mnyonyo najua ndio yanatengeneza shepu kwa mtoto
 
Nimewahi kusikia hii kitu na inafanyika sana kusini mwa Afrika,
 
Watu watanga wana kazi 😂😂 sasa miaka miwili anamjengea shape au anataka watu waanze kumtngza mwanae akiwa na miak 11 au jmn sio fear
 
Wakati niko tabora kuna katoto kalikuwa kanachoma sindano za masaa..basi nikakaambia sogeza nguo nikuchome sindano,..duh katoto kalikuwa na shanga nyingi balaa..nilibaki nimeshangaa aiseeee..
 
Habari wajumbe,
Leo nimemtembelea rafiki angu mmoja mwenye katoto ka kike k umri wa miaka muwili.
Cha ajabu nimekuta amekavalisha shanga kiunoni hako katoto kadogo baada ya kumuuliza akaniambia kuwa inasaidia kutengeneza shape.
Sayansi n ufahamu wangu umegoma kabisa kukubaliana na hili.
Je jambo hili lina ukweli huko duniani?
dunia ina mambo shape na shangaa wapi na wapi!?
 
sishangai vitoto kubakwa, wazazi mnasababisha yote
 
Ni kweli,humsaidia kugawanya nyonga....ni lazima umuwahi ingali bado mdogo ngoz yake ni laini sana ivo ni rahisi kumtengeneza umbo.Hata kama hana tako lakini shape yake itakaa poa
 
Mtoto kama karithi uko nyuma kapigwa pasi hata utambikie ni kazi bure...navojua shape ya mtu anazaliwa nayo

Hiyo ni zamanı; Siku hizi WACHINA wanawapiga sindano za kutengeneza makalio!!
 
Mtoto mdogo ukizoea kumlaza upande mmoja bas ni lazima kichwa kiwe flat upande mmoja,,ndivyo na kiunoni shanga hutengeneza kiuno
Imani tu hizo misambwanda na viuno nyigu mtu anazaliwa navyo ukiachana na hawa wa surgery ukisema ivo ile jamii inayoaminika hawana shape nzuri kwao shanga hazipo?
 
Imani tu hizo misambwanda na viuno nyigu mtu anazaliwa navyo ukiachana na hawa wa surgery ukisema ivo ile jamii inayoaminika hawana shape nzuri kwao shanga hazipo?
Ukikaza wastan shape inatengenezeka vizuri kabisa
 
Back
Top Bottom