Tupo wilaya moja ila tunaonana weekend tu kwa sababu ya majukumu ya kazi.
Leo wakati tunapiga story kaniuliza, Hivi unavyonipenda hivo na SIJAKUROGA siku NIKIKUROGA itakuwaje? Ukimya ulitawala...
Siku hizi kama ikitokea umetembea ( umefanya mapenzi ) na Wanawake kati ya Watano hadi Saba basi usishangae ambao wamenyoa ' mavuzi ' yao ni wawili au mmoja tu na ' sometimes ' hata hakuna...
Baba zao walikua maswaiba, katika kulinda mali za familia zao walipanga kuwaoza watoto wao. Binti hakuwahi kumkubali jamaa lakini kwake pia aliona ile ndoa ni life opportunity. Familia ya mume...
Baada ya kipind kile kuleta Ujinga wa kuniomba Kodi ya fremu kwa nguvu bila utu kipind ambacho nmetoka kuibiwa dukan kwangu, ikapelekea kuua kabisa Lile wazo langu la kumfungulia biashara yake ya...
Wanawake kuweni Serious
Utakuta unamuomba mwanaume pesa hata kama sio mchumba wako kisa mazoea tu. Ukiombwa wewe inakuwa mengine. Siku hizi hali ngumu akuna cha mtu ambacho kinakwenda bure...
1. Matatizo ya kisaikolojia
Watoto wanaweza kukabiliwa na matatizo mbalimbali ya kisaikolojia ambayo huathiri uwezo wao wa kujifunza shuleni.
Baadhi ya watoto huzaliwa na matatizo haya huku...
Kama una rafiki wa moyo halafu rafiki huyo unapokuwa unapoteza muda kwa mambo fulani ambayo hayana faida na yeye hakushauri wala haoni kuwa ni vibaya angali anajua unapoteza muda kwa mambo ambayo...
Ni binti tu wa makamo ana miaka 19 tu nilianzisha nae mahusiano.
Binafsi nashindwa kumuelewa mi nilianzisha hayo mahusiano kwa sababu ya kudinyana tu aswa ukizingatia kwenye kubadilisha Radha...
Kama hukujua, basi fanya modification kwenye chumba cha ndoa yako.
Vitanda viwili huongeza msisimuko wa kufanya mapenzi pale mmoja anapotembelea kitanda Cha mwingine kwenda kunyanduana. Siku za...
Mungu awape maisha marefu wanaume wote duniani...
Wanaume wana roho nzurii jamani....
Nianze na mwanaume mwenye familia yani kaoa...yeye anaenda kazini anamwacha mwanamke amelala anachomeka na...
Safari ya mahusiano huwa ni safari yenye mambo mengi kuna wakati mahusiano unaona ndio chombo kinachokupa amani ya moyo
Na kuna wakati mahusiano unaona kabisa hayakupi furaha ya moyo mbaya zaidi...
Habari wana jamvi?
Kama mada inavyojieleza hapo juu. Napenda kufahamu kwanini Mabinti wengi wanao nipata nikiwacheat ni wepesi sana kusamehe na kusahau kuliko mimi ambaye nikimkuta binti ana...
Mimi ni mdhaifu sana linapokuja swala la kutaka kungonoka. Udhaifu wangu umefanya huyu bi mdashi ninaechepuka nae kunafanya kama mimi ndio sex mashine yake.
Yeye kila siku anataka, na sio kutaka...
Katika wakati huu kumeibuka Dhana ya kufanya mazoezi maeneo ya beach, barabarani na katika Gym kwa maana ya kuweka miili fit na kuepuka magonjwa yasiyoambukiza.. Kiuhalisia Mazoezi Ni jambo jema...
Ni mwaka wa pili sasa nipo kwenye mahusino na mpenzi wangu niliyempenda sana na kumjali. Mwanzoni mwa mapenzi yetu alinionyesha tabia ambazo sizo tabia za kuchat na ma ex boyfriends wake na sio...
UDSM, 2010 saa moja na nusu usiku nipo dirishani hall 6 nachungulia dirishani. Ghafla anashuka Dada mmoja kutoka juu ghorofa ya kwanza anakutana na kijana mmoja aliyeonekana amebeba mfuko...
Uzi tayari.
Ila mimi sikubaliani na utafiti kwamba eti wanawake hawana Kinga ya kutosha kutokana na kuwaza zaidi.
Kama hawana Kinga mbona wanaishi Umri mrefu kuliko wanaume?
======
Imeelezwa...
Mimi mtu mzima na ninayejielewa na kujiheshimu natafuta mwanamke mwenye kujielewa na mapenzi ya dhati na umri usiozidi miaka 50 naishi hapa hapa Dar es salaam. Tuwasiliane kwa namba 0784355760.
Imeshapita wiki mbili sasa toka nilibongonyoe (tubailojiane) na jimama langu fulani hivi jeupe jeupe lenye tako mbinuko lile ambalo hata mtoto anaweza kukaa bila mbebeo.
Yuko na miaka 45, kuanzia...
Kuna siku nilikuwa nimechoka sana, kutokana na changamoto za kidunia, nikaamua kwenda kiwanja na jamaa yangu kwa ajili kupiga kinywaji pamoja na kuosha osha macho kwa kuangalia watoto wazuri. Siku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.