Siwahi tena kufika kileleni

karv

JF-Expert Member
Dec 26, 2019
1,799
3,221
Habari za wakati huu wapendwa nimatumaini yangu mpo vizuri kabisa na mnaendelea poa na mishe zenu kama kawaida.

Naomba moja kwa moja niende kwenye uzi husika.

Nilikuwa ni mmoja kati ya watu waliokuwa wanapiga show mbovu sana kwa kipindi hicho kiasi kwamba nilizokea kuwaogopa hadi wasichana.

Moja kati ya sababu kubwa nahisi ni puli na kuendekeza madada wanaojiuza. Kiasi kwamba hadi siku napata mpenzi wa kudumu ilikuwa kimoja tu chalii.

Show zangu zilikuwa ni kama za kuku chapu nashusha mzigo natafuta suruali ilipo niondoke au nikimwaga nasubiri hata dakika 20 - 30 ndio nirudi mchezoni au hadi nioge kwanza.

KUTAFUTA SULUHISHO KUKAANZA
Katika kutafuta suluhisho nimegoogle sana nimefanya mazoezi na mengine kadha wa kadha lakini katika kutafuta kwangu suluhisho kuna dawa niliapa sitokuja kutumia.
~Kwanza sikuwa nataka dawa za kubost yani unatumia muda wa show tu baadae hola yani bila ya iyo huwezi tena kupiga show
~Sikuwa nataka dawa ambayo itanifanya niwe tegemezi katika hiyo yani nitumie tena baada ya muda nitumie tena.
~Sikutaka kupewa madawa ya kizungu kwani baadhi ya watu walikuwa wanashauri sio mazuri yana boost kwa muda tu

Katika kutafuta kwangu dawa ndio nimeamini kweli baadhi ya wanaume hatupendani. Yani mtu anaifahamu dawa kwa kuwa unatatizo tu basi anakwambia nipe laki au elfu hamsini nikupe dawa niliyonunuaga elfu 5.

Wengine wanasema njoo nikupe programu ya mazoezi na virutubisho nikapotezea tu.

Nilikunywa mizizi ya kutosha lakini wapi nikienda kupiga show yake yale bao la kwanza dk 2 nyingi bao la pili dk 3 hazifiki niliaibika vya kutosha.

SULUHISHO LIKAPATIKANA
Baada ya kusumbuka kwa muda mrefu siku moja nikaenda kumtembelea kwa ndugu yangu akanionyesha chupa ya dawa akasema amenunua ili awape wanae kwa ajili ya minyoo niliposoma maelezo ya dawa imeandikwa magonjwa mengi na NGUVU ZA KIUME inatibu.

Basi nikaanza kunywa ile dawa japo kuwa ni chungu na familia yake wote wameshindwa mm nikanywa sababu nina shida.

Baada kama ya siku 3 kwenda chooni nikajisaidia minyoo kabisa imetoka nimeiona nikatumia hadi dozi ikaisha nilikunywa kwa siku 9.

Kama kawaida nikavuta demu bao la kwanza kama kawaida nikapiga kwa dk kama 4 hivi baada ya kukojoa nikqpoa dk 3 chuma hii hapa bao la pili nililitafuta sana hadi binti wa watu akaomba tupumzike tukapumzika baadae nikaendelea tena hadi nikalipata.

Nikajua labda ni kwa muda tu halafu hali itajirudia lakini nikikutana nae mambo ni yale yale. Show za kibabe zinaendelea.

NB:Sifanyi promo ya dawa yoyote.

Mawasiliano ya alipo nunua dawa sina wala muuzaji wa dawa pia sina mawasiliano yake.
 
Hahah kwa hiyo mzee ukanya minyoo halafu mpini kuanzia siku hiyo ukawa fresh...

Basi ni minyoo ndio ilikuwa inaleta tatizo
 
Hahah kwa hiyo mzee ukanya minyoo halafu mpini kuanzia siku hiyo ukawa fresh...

Basi ni minyoo ndio ilikuwa inaleta tatizo
Inatibu magonjwa mengi pamoja na ............
 
Kabala ya show siku mbili au tatu huwa najiandaa kwa show.
Nakunywa maziwa fresh asubh mchana na jioni kila siku
Natumia asali asubh na jioni
Nakula ugali na nyama choma kila siku.
Huwa najitahidi kabisa kuacha mawazo.

NB. Hapa mtoto wa watu kama asipo omba naomba nipumzike atakuwa ni mzimu huyo.

Tule na tujiandae vizuri kabla ya mechi hutokuja jutia
Mechi nzuri inahitaji maandalizi sio unatoka zako huko na stress basi ukapige show utapata aibu ya mwaka.
 
Hahah kwa hiyo mzee ukanya minyoo halafu mpini kuanzia siku hiyo ukawa fresh...

Basi ni minyoo ndio ilikuwa inaleta tatizo

Yan kukosa nguvu za kiume ni pamoja na tumbo kutokua sawa aisee asikwambie mtu
 
Hii ni product yako?
Nice promo

Tafuta movie inaitwa made from china..
Utajua ujui ni mindset tu.
Kwa mtazamo wako nafanya promo lakini kiukweli kabisa sio product yangu hiyo ingekuwa yangu ningeenda jukwaa la matangazo huko
 
Back
Top Bottom