Fanya uhusiano na mtu anayekupa mawazo ya kusonga mbele kiutafutaji; sio unatengeneza mahusiano na mtu muda wote ni kukupiga mizinga tu; mara hela ya kodi imeisha, mafuta ya gari, mtaji n.k . Siku...
Nyie mlioko kwenye ndoa miaka kwa miaka mnawezaje kuishi pamoja? Mimi naona kama kazi sana kuishi pamoja kushare kitanda na mtu kila siku.
Ukitoka asubuhi unamuona ukirudi nyumbani upo nae...
Tunawapenda sana kwa sababu mnatupa faraja mbalimbali; pale tunapokuwa tumechoshwa na mihangaiko ya hapa na pale huwa mnatufariji. Ila kuna wengine ni vichomi au mabomu, wanaosababisha tuwachukie...
Wapendwa nawasalimu kwa bashasha kabisa msimu huu wa valentine. Bila kupoteza wasaa kama kichwa cha habari kinavyosomeka ni nani unatarajia kutoka naye na kutumia muda wenu pamoja siku ya kilele...
Wakili Peter Thadeo amesema Sheria ya Ndoa haijazuia wala kukataza mke au mume kuchepuka lakini ametahadharisha kuwa kuchepuka kupitiliza kunaweza kupelekea ndoa kuvunjwa.
Wakili Peter amesema...
Habari za mida hii ndg wanaJF.....
Naandika uzi huu kwa uchungu kiasi maake Dada zetu wanaliwa kihasara na mchango mkubwa ni mama zao.
Kivipi?
Waliosema muache mtoto atafute mchumba wa kumuoa na...
1. si mpenda pesa
2. si mwenye dharau
3. si mwana wa shetani
4. si muongo na mbabaishaji
5. si malaya / muhuni
6. si mwizi na mchawi
7. si mpumbavu na mnafiki
wasifu wangu kiufupi
majina...
Pale mpenzi wako anakuletea zawadi iwe ya gari, nyumba, saa, boxer, mkoba, au kitenge n.k
Ghafla ukashona kitenge kile tena akakudizainia mshono kuwa ndo anoupenda jumapili moja mkatoka out nae...
Nimekutana na huyu binti pisi kali kabisa
Baada ya kuanza kuwa nae karibu nimegundua ana tatizo la usikivu hafifu sana. Napata shida kuongea nae hasa mbele za watu maana inanilazimu kuongea nae...
Jamani nimedate na waschana wenye majina haya kama 5 hivi sijui nina bahati gani ya kukutana nao. Wa kwanza alikuwa na miaka 16 miaka ya 2003 hivi. Huyu alikuwa anapenda sex kupitiliza yaan...
Siku moja nilipata safari kwenda mkoa anakoishi mchepuko wangu, ambaye tulibahatika kuzaa naye. Baada ya kufika katika huo mkoa, nilimjulisha na akanikaribisha niende kumtembelea nyumbani kwake...
Hili jambo limkute jirani yako tu, likiikumba familia ni majonzi na mtihani mkubwa sana. Hatukuwa tumewahi kufiwa na mmoja wa wanafamilia, kwa maana ya kaka au dada wa tumbo moja na baba mmoja...
Wakuu poleni na majukumu ya hapa na pale
Napenda kujua kwanini wanawake wengi wanapenda sana kudate na bad boys.
Wanawake wengi warembo huwaambii kitu kwa wanaume bad boys au wanaume wahuni...
Hivi wakuu mnatumia ujanja gani kuwanasa Hawa watoto wazuri uko mitaani maana nyuzi nyingi humu watu wanaonesha wanachakata mbususu tofauti tofauti Tena za kiwango.
Lakini Mimi kila nikijaribu...
Wakuu mimi sielewi
Nina mshikaji wangu mmoja kila tukikutana ni vizinga plus analalamika maisha magumu. Ni jamaa yangu classmate etc ila mpaka muda huu ana watoto wa 3, leo nmekutana naye tena...
Siku ya valentine ilianza kwa shamra shamra sana kwa upande wangu, Nilipokea zawadi za kutosha kutoka kwa wife,michepuko n.k
Pia na nikatoa zawadi za KUTOSHA kwa watu wangu wa karibu wengi tu...
Assalamu Alyekum!
Mwezi February ulikuwa mwezi wa wapendanao. Nikasema mwezi huo nitautumia kukutana na Mabazazi, washenzi, maharamia, wateka Manuwari na nyambizi, Pia nikakutana na wakata umeme...
anajieshimu
Msafi
anayo mahusiano mazuri na wazazi wake sana sana Baba
Anafanya mazoezi na kula vizuri
Anapenda watoto
Sio mbea
Avuti sigara,bangi,shisha na kunywa pombe
Sio king'ang'anizi...
Hello JF Members,
Nimekuja kidogo na channgamoto ya kifamilia, ukweli napitia kipindi kigumu sana kifedha imeleta changamoto nyingi sana kwa upande wa maelewano na mzazi haswa mama..ikafikia...
Swali ulijijisikiaje ulipogunduaa mume wako anakusaliti kwa mara ya kwanza?
Je ulifanyaje ukasahau na mkaendelea na maisha na upendo ukabaki pale pale?
Ilikuchukua muda gani kuizoea hiyo hali na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.