Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kwa wale mabachela ambao bado hamjao njooni niwasanue kitu maybe kitakuja kuwafaa kwenye kuchagua mwanamke wa kuishi naye ndani Kama mkeo. Unapoanza mahusiano na mwanamke lazima ufanye vitu...
22 Reactions
110 Replies
7K Views
Mnavyojua tena, maisha ya harakati huwa hayana mwisho. Wiki tatu zilizopita nilikuwa nachat na mrembo mmoja matata, niliyekutana naye katika mtandao mmoja wa kuonyesha sura. Nilitokea kumpenda...
26 Reactions
230 Replies
13K Views
Nimejiuliza sana, mama zetu ni wepesi sana kueleza mabaya ya baba zetu na kuyaanika wazi, kauli kama kipindi unaumwa mimi ndio nilikupeleka hospital baba yako alikuwa amelewa chakari, baba yako...
16 Reactions
50 Replies
3K Views
Habari wakuu? Nilikuwa na wazo la kufungua biashara ya nguo wilayani Kahama, na changamoto niliyonayo ni usimamizi, na mimi pia nipo mbali na huo ukanda. Nikiangalia haraka haraka kwenye...
2 Reactions
68 Replies
4K Views
Kwann nisinyanduliwe kabla ya ndoa wakati nikiingia nitanyanduliwa pia Hahaaa kwamba ni lazima uto.mbw
1 Reactions
0 Replies
356 Views
Jana usiku buana nikaingia mtwara bay kwa mara ya Kwanza sikuwahi kufika huku.mwenyeji wangu akaamua kunionyesha machimbo ambayo watu huteketeza pesa zao. Kiwanja Cha Kwanza tukaingia pale triple...
5 Reactions
25 Replies
4K Views
Jana niliopoa pisi niliifahamu kupitia rafiki yake, aisee baada ya kuipga mizinga ya pombe ikiabidi tuelekee geto. Kufika geto ile nmejipima na yeye nkawa nmempima ikaonekana yuko positive akili...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Ni mpenzi wangu, aliniomba pesa ya kununua simu. Nikamwambia Sina kwa muda ule, Nikamwambia tuangalie baadae kidogo. Alininunua simu na akasema ananunua ila kachukua hela kwa mama yake tutarudisha...
19 Reactions
135 Replies
9K Views
Mmeamkaje kwa mlio Tanzania? Na wa maeneo mengine ya dunia ninatunaini muwazima pia. Katika kusherehekea siku ya wanawake kimataifa DC tajwa amewaasa wanawake kuacha tabia ya kuwalea wanaume maana...
8 Reactions
67 Replies
4K Views
Habari ya leo. Miezi kama 3 iliyopita alinitembelea shemeji yangu wa kiume (miaka zaidi ya 30) na alilala chumba cha watoto. Ikumbuke Nina Binti/mtoto wa kike miaka 5, wakati huo niliongea na...
32 Reactions
207 Replies
15K Views
Wakubwa na vijana wenzangu nina imani kubwa Mungu ametujalia uzima na afya tele.. Tuseme Asante Mungu! Mimi ni kijana mwenye miaka 25, ninatarajia kuhitimu au kumaliza elimu ya chuo mwaka huu...
13 Reactions
64 Replies
5K Views
Hi JF, I am a lady between age 30-35 looking for a serious relationship with a Christian matured man age between 36 -42 a widower, divorcee or just a lonely soul looking for a serious relationship...
16 Reactions
22 Replies
2K Views
Habari za muda hii wadau wa MMU.!?I hope mko poa.. Kwa kisa nilichokishuhudia siku ya sikukuu ya mwaka mpya mwaka huu nikasema sitokuja kumpiga mke wangu nikifanikiwa kuoa. Ni kama mida ya saa8...
8 Reactions
39 Replies
4K Views
Leo kuna kabinti kabichi bichi nimezinguana nae, nimempa apointment tukutane saa nane mchana mpaka muda huu anasema yuko njiani. Kaniudhi sana yaani sana, kafanya niwachukue mabinti wote...
16 Reactions
119 Replies
9K Views
Wewe:Oya! Yeye:Niambie! Wewe:Mzima? Yeye:Mimi mzima wewe je Wewe: Niko poa Yeye:Okay KUNA JAMAA MWINGINE YUKO ONLINE ANA-CHAT NA MSICHANA HUYO HUYO KWA STYLE HII: Jamaa:Mambo mrembo wewe...
27 Reactions
107 Replies
31K Views
Bhanigini bhane, Mimi sio mdau wa mahaba licha ya kwamba nina mapenzi tele. Mahaba ndio chachandu ya mapenzi, mambo ya kuitana bebi, switi hati hayo kwangu ni matumizi mabaya ya sauti...
14 Reactions
63 Replies
4K Views
Jamani mimi hata mwanamke awe mzuri namna gani, kama anachonga/ananyoa/anapunguza nyusi lazima anishinde. Sipendi kuona nyusi za mwanamke zimechongwa. Yaani niko tayari kumvumilia mwanamke...
6 Reactions
42 Replies
4K Views
Katika utafiti wangu niliofanya, niligundua kwamba wanawake wengi wanalalamika Sana kwamba wanaume wanawacheat na wanawake wengine.Ina maana katika mahusiano mengi asilimia 75 ya wanawake wapo...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Ndugu wana-Jamvi, Mwanangu ana umri wa mwaka mmoja na miezi nane lakini anakabiliwa na tatizo la kuwa na hasira hasa pale anapoona amecheleweshewa kupewa kitu mfano kama uji au juice. Unaweza...
6 Reactions
102 Replies
18K Views
Kumekuwa na malalamiko mengi kutoka kwa wanawake au wanaume juu ya matatizo ya ndoa zao, hii ni tafiti yangu fupi kuhusu vyanzo vya migogoro katika ndoa….Ila kwa huu uzi nitaeleza sababu...
6 Reactions
26 Replies
4K Views
Back
Top Bottom