Asilimia 90 ya Wanaume niliokuwa nao kimapenzi waliniomba hela

Malovee

JF-Expert Member
Dec 3, 2020
202
324
Kweeema?

Sijui shida itakuwa nini Mimi siyo tajiri nina maisha yangu ya kawaida but uongo dhambi ninajipenda, nanajua kupendeza ata kama nguo ni ya bei ndogo, ninajua kupangilia, inshort ninajipenda.

Sina tabia ya kuomba pesa kwa mwanaume nae date nae, lakin asilimia 90 ya wakaka nilio date nao, na ambao ni marafiki zangu wamekuwa wakiniomba mm pesa, it's like wananichuna.

Yaan inashangaza ata nidate na mtu mwenye uwezo vipi, yeye hatanipa pesa badala yake ataniomba mimi. Narudia Tena Sina maisha ya kuji proud, kwa kuongea kwamba mm Nina kitu flani au kwetu Kuna maisha Gani, but inatokea tu ynakuta mm ndio naombwa. Hiki kitu kinanishangaza na kuniumiza Sana mpaka ninajiona Nina shida Gani?

Wajuzi naomba mnisaidie nakosea wapi nipo tayari kupokea +ve and - ve comment.
 
Kweeema?sijui shida itakuwa nini Mimi siyo tajiri Nina maisha yangu ya kawaida , but uongo dhambi ninajipenda, nanajua kupendeza ata kama nguo ni ya bei ndogo, ninajua kupangilia , inshort ninajipenda.

Sina tabia ya kuomba pesa kwa mwanaume nae date nae ,lakin asilimia 90 ya wakaka nilio date nao, na ambao ni marafiki zangu wamekuwa wakin
Seems una-date na mariooo!
 
Kweeema?sijui shida itakuwa nini Mimi siyo tajiri Nina maisha yangu ya kawaida , but uongo dhambi ninajipenda, nanajua kupendeza ata kama nguo ni ya bei ndogo, ninajua kupangilia , inshort ninajipenda.

Wajuzi naomba mnisaidie nakosea wapi nipo tayari kupokea +ve and - ve comment.
Pride will take you anywhere! Ni either umri umeenda unajifanya cheap and so una attract watu wasiofaa au unaoenda uonekane una uwezo.

Hakuna mwanaume mwenye uwezo anayeweza kumwomb mwanamke fedha, lazima unajifanya una uwezo. Mfano namna tu unavyojieleza yaonyesha a kind of pride...

Check your character
 
Una nyota ya kudangwa.

Kwa sababu hata kama una maisha mazuri au una hela wanaume wenye hela ndio wanapendaga wanawake wa hivi, na haimaanishi atakuomba hela bali atakuwa yeye anakupa. Tena atakupa nyingi kukuonesha anaweza kukumiliki.

"Mwenye nacho ndio huwa anaongezewa" siku hizi.
 
Kweeema?sijui shida itakuwa nini Mimi siyo tajiri Nina maisha yangu ya kawaida , but uongo dhambi ninajipenda, nanajua kupendeza ata kama nguo ni ya bei ndogo, ninajua kupangilia , inshort ninajipenda.

Sina tabia ya kuomba pesa kwa mwanaume nae date nae ,lakin asilimia 90 ya wakaka nilio date nao, na ambao ni marafiki zangu wamekuwa wakiniomba mm pesa , it's like wananichuna.

Yaan inashangaza ata nidate na mtu mwenye uwezo vipi, yeye hatanipa pesa badala yake ataniomba mm.

Narudia Tena Sina maisha ya kuji proud, kwa kuongea kwamba mm Nina kitu flani au kwetu Kuna maisha Gani, but inatokea tu ynakuta mm ndio naombwa . Hiki kitu kinanishangaza na kuniumiza Sana mpaka ninajiona Nina shida Gani?

Wajuzi naomba mnisaidie nakosea wapi nipo tayari kupokea +ve and - ve comment.
20220109_175452.jpg
 
Back
Top Bottom