Eti wapendwa?
Maana kiukweli bila kupepesa macho upendo wa kweli wa muda mrefu hakuna yaan umekwisha...yaan asilimia kubwa upendo wa kweli umebaki wa siku moja tu siku ya mgegedo yaan baada ya...
Leo nmeamini hayo Maneno ya wahenga hapo juu baada ya kukutana na hizi sarakasi kutoka kwa Mchepuko wangu uyu wa siku zote mama J.
Ni HIVI,
Juzi jion baada ya mihangaiko yangu nlikwenda kwa...
Wajuzi wa mambo haya,
Naomba nirudi nyuma kidogo,nilikuwa mdogo bado nina kumbukumbu yapata miaka 29 nyuma. Nilikuwa na uwezo wa kuona vitu au kitu kibaya,au kujua ni lini tutapata wageni na...
Ujue kuna mambo mengine tunajitakia wenyewe. Hivi mwanamke unaanzaje kuishi na mwanaume miaka mi2 bila ndoa hata Pete ya uchumba tu hajakuvisha mnaishi pamoja miaka yote mi2. Hamtaki kuoana basi...
Habari wana JF....
Naamini most of mliopo na wasiokuwepo hapa... your weekend ilikua ni nzuri na your Loved ones are well and good...
Katika mahusiano ya Mapenzi kila moja hu wish kua angeweza...
Aisee nyie acheni haya mambo, kutokana kuwa karibu na watu na sehemu niliyopo kuna jamaa kutoka mkoa x alimuwezesha mke wake kufanya biashara fulani kwenda mikoa fulani, baada ya biashara kukua...
Nilikua nae kwa mda wa miaka mitatu tumebahatika kupata mtoto mmoja wa kiume amewahi, kuondoka nakurudi kwao mala 2 hii safari ya tatu. Kibaya zaidi hataki kupokea cm ananitukana matusu kwenye...
Awali ya yote nianze kwa kutoa pole zangu kwetu watanzania wenzangu kwa kuondokewa na aliyekuwa Rais wetu wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania, Dr John Pombe Joseph Magufuli. Hiyo ndiyo njia yetu...
I'm very spiritual man.
Kwanza hapo mwanzo bidada yule aliyeutesa moyo wangu nilipo mtamkia kuwa nampenda alinikataa.
Lakini kwa kiburi changu na Roho ya kutokukubali kushindwa niliamua Kufanya...
Siku mbili tatu hizi, nilitembelewa na mpenzi wangu; Kama mnavyojua tena, ukitembelewa na mgeni ni vizuri kumjali pamoja na kumtembeza maeneo mbalimbali ili aweze kufurahi.
Mnavyojua tena mitoko...
Nimewahi kuandika huko siku za nyuma makosa makubwa manne wafanyayo wanaume kitandani, ni makala ilipendwa sana na wote na ukienda kwenye blog yangu unaweza kuiona na kuisoma wakati wowote. Baadhi...
Jua Ishara 11 za Mwanamke Anayekupenda, Lakini Anashindwa Kukueleza
Kwa muda mrefu kumekuwa na wimbi la imani potofu kwa wanawake na wanaume kwamba mwanamke hawezi kumwambia mwanaume ukweli kama...
Wakuu, yuko wapi General Galadudu? Ni muda mrefu sana sijasoma post zake humu JF MMU. Ni muda mrefu sana sijasikia habari za "manati yake ya kizungu" na mambo mengine mengi.
Mkuu General...
Naamini wengi wenu Ni wazima, binafsi ni mzimaa wa afya! Nisiwachoshe Wala nisijichoshe naenda straight kwenye mada.
Leo nimewafikiria viumbe wa kiume, kwa kweli Ni VIUMBE wazito Sana kuishi nao...
Kanye West tangia ameachwa amechanganganyikiwa kabisa na juzi mahakama imempa ushindi kim kwa mama officially yupo single .
Kanye anatishia kumuua huyo boyfriend wa Kim .
Je. wewe unaweza tishia?
Ukiachana na m'push agenda Mr Liverpool juu ya suala la kutokuoa, sisi wanaume tuliopo kwenye ndoa tunahitaji pia kuishi ki'masta sana na uwezo wa kutathmini jambo kwa spidi ya 6G.
Pointi ipo...
Shikamoni wanajamvi. Nilileta uzi kuhusu lile jima.ma langu ambalo limezaliwa India. Sasa nataka nilioe kabisa potelea mbali.
Nataka kujua utaratibu kwa ufupi, wa mahari zao na vitu vingine vya...
Sijui hata nianzie sehemu ipi kuelezea na wana MMU mlivyo wavivu kusoma sired ndefu.
Mama O alienda kwao kujifungua watoto mapacha huku kaka akiwa bize kutafta pesa, mama O kajifungua salama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.