Profesa ntare nkobe
JF-Expert Member
- Feb 5, 2018
- 6,954
- 8,148
Utafiti nilioufanya ni kwamba ukioa mapema ni rahisi kupata msongo wa mawazo, kuuliwa, kurogana n.k. lakini ukichelewa kuoa utaepukana na mambo mengi sana na hii ita kuongezea umri wa kuishi.
Ukifikisha miaka 60 oa utakuwa huna cha kupoteza.
Ukifikisha miaka 60 oa utakuwa huna cha kupoteza.