Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Swali hili, Kwa heshima na taadhima walipokee ndugu zangu wa kusini! Mrima Mmoka ni kauli ya lugha ya kimakua, lugha ya jamii ya wamakua, jamii ya Hayati Ben Mkapa (Mungu amlaze mahali Pema)...
2 Reactions
7 Replies
669 Views
Mwanaume ni kiongozi wa familia, hii ni kutokana na asili ya uumbaji. Kuna kipindi, mwanamke lazima amtegemee mwanaume, iwe ni kwenye kufikiria au kutoa maamuzi. Kwa wale ambao hawaishi na...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Huu sio urafiki Yaani tunapishana kwenye makoldo ya jf hata kukaribishana kwa ajili ya maakuli siku ya sikukuu (jumapili) hakuna! Tatizo ni nini? Tukaribishane wakuu Mi nachukua nafasi hii...
6 Reactions
27 Replies
928 Views
Habari wanakundi, Mimi ni binti wa miaka 29, naishi dar. Mimi ni wakawaida kabisa, Mrefu kiasi, Maji ya kunde, Mkristo(SDA) Sijasoma sana, Asili yangu ni kanda ya ziwa, NATAMANI NIKUTANE NA...
6 Reactions
13 Replies
1K Views
Uzi huuwa kirafiki ni mahsusi kwa kuwsshukuru ama kutambua umuhimu wa members wenzetu hapa JF. Mshukuru ama tambua umuhimu wa member yeyote kwa kumtag. Kushukuru ni jambo la kiungwana...
24 Reactions
59 Replies
2K Views
Wasalaam, Nimepata mfadhaiko siku za hivi karibuni, mademu za watu wanapigana na kuwaacha wapenzi wao kisa Mimi, na pisi Kali kiasi kwamba ni ngumu kukataa, wanalipa mpaka bill zilizogharimiwa...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Nisikuchoshe Sana, Dada zetu wanapofikia umri wa Miaka 18 mpaka 29 Wanatesa Sana. Attention ya Kila mwanaume wanaipata kuanzia wanaume wenye Miaka 20 mpaka 50 wote wanawatolea macho Kodo...
8 Reactions
19 Replies
1K Views
Habari ya asubuhi ni mbaya sana. Maisha ya usingle boy ni mabaya mno. Unaishi mwenyewe na kulala mwenyewe kama mchawi matokeo yake ndugu zangu hela yangu imenisaliti yenyewe aisee kama inavyo...
4 Reactions
33 Replies
2K Views
Umri wangu ni miaka 30, kwa sasa natafuta mke wa kuoa awe na Umri 18 - 35 awe mkristo Awe amezaa watoto wasiozidi 2.
4 Reactions
159 Replies
7K Views
Yeah ! Imeandikwa mzinifu atamuoa mzinifu mwenzie, mwizi ataolewa na mwizi mwenzie na mlevi kwa mlevi. Haiwezekani wewe jambazi utegemee upate mwanamke mwema, shenzi type unataka kumvunja binti wa...
9 Reactions
41 Replies
2K Views
Yaan huyo mbaba ana kazi yake nzuri tu na huwezi mdhania hata kidogo. Hivi jamani mtu kuwa busy na kazi ndiyo usifanye hata mazoezi japo yale yakutembea? Mmh madogo yana unafuu. Ndo nn sasa...
23 Reactions
151 Replies
10K Views
Kipindi nasoma, naishi home kwa wazee, mfanyakazi wa ndani aligundulika ana mimba. Ikabidi ahojiwe muhusika ni nani. Ile nyumba watoto wa kiume tulikuwa watano ( kuna mtoto wa baba mdogo nae...
116 Reactions
168 Replies
21K Views
Naombeni mnisaidie kuna mdada nimempenda anakata kubadili dini anasema nibadili mimi .
2 Reactions
39 Replies
4K Views
بسم الله الرحمن الرحيم. Mimi ni mwalim wa dini na imam katika msikiti ulipo eneo ninalo ishi... Kwa nafasi yangu huwa napokea kesi na migogoro mbalimbali kusuluhisha na kushauri. Nina wito huu...
8 Reactions
19 Replies
1K Views
Wakuu, Kama kuna mwenye kufahamu mahari za Wahaya aniambie huwa ni kiasi gani. Asanteni
0 Reactions
59 Replies
19K Views
TAFITI zinaonesha yafuatayo: Wanaume kuna kibaridi fulani hivi kinakupata nakuanza kujiuliza maswali kibao. Jamaa alimkula demu wangu mpk akatupa kule? Mastaili anayonipa mpenzi wangu usikute...
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Hello JF, 👇👇👇 Juzi Kati hapa nimekoma nimeingia lodge na manzi mmoja mitaa ya area D hapa Dodoma, nilivua suruali mbele yake nikaitundika kwenye enga ukutani, si akashangaa akauliza au...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Utakuta unamu-approach mdada kistaarabu uanzishe naye mahusiano ya kimapenzi, ambayo pengine yataishia kwenye ndoa, sometimes unachukua namba yake unachat nae kistaarabu, aloo majibu anayojibu...
22 Reactions
151 Replies
8K Views
Nina mtizamo hasi (negative perception)dhidi ya wanawake naomba wana saikolojia na sociologists waliomo humu kunishauri ni jenge imani umpya kwa wanawake ili niweze kua na mapenzi ya dhati sio ya...
7 Reactions
38 Replies
2K Views
Wanajamvi, wasalaam! Kama mada inavyojieleza, nahitaji mwanamke seriously tuingie katika mahusiano. HUYO MWANAMKE LAZIMA awe: (A) -Askari polisi, au Uhamiaji, -Askari JWTz, -Daktari wa binadamu...
5 Reactions
26 Replies
2K Views
Back
Top Bottom