kaanzie temeke xudan, xinza,bugurun yte imejaa wahaya,nenda maxai club,joli
kumbuka tu kuwa debe la senene linakuhusu tena uzifunge kwenye entukulu
mkuu wewe ndo yule sweetie wa shishi?
sasa hapa jijini hivyo vitu vinapatikana wapi mkuu?
Wakuu,kama kuna mwenye kufahamu mahali za wahaya aniambie huwa ni kiasi gani.
Asanteni.
kaanzie temeke xudan, xinza,bugurun yte imejaa wahaya,nenda maxai club,joli
nataka nichunguze kwanza nijue gharama zao ili nijue kama namuoa kwanza au nachapa mimba kwanza.
Milion 5 inakuhusu
Duh!!! Ila technique ya mimba kwanza ndiyo nzuri maana bargain power yako inakuwa juu.... Unaweza kujikuta hadi wanakukopesha kabisa😅